SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,796
- 1,308
Tuuzieni siye kama kachuja!
Hatumuuzi hata kama kachuja, Chelsea kila moja ni mfungaji mpaka kipa, hatumtegemei Nando kutufungia
Tuuzieni siye kama kachuja!
Sparta Prague mtotowamjini.
Umepotea sana siku hizi wapi hiyo!??
Najiandaa kushangilia ubingwa wa 20 kwanza hayo mengine baadae
:biggrin1: wishful thinking
Najiandaa kushangilia ubingwa wa 20 kwanza hayo mengine baadae
Tunawatakia safari njema huko Uropa
alaf watoto wenye akil hazard, oscar na luiz wakianza tu kwishney mancin
- ANKOJEI mi ningependa oscar awe sub ila aingie dk ya 55 sio 80 kama beni anavofanya.
- mikel acheze leo atamdhibiti vizur toure
- nyuma wawepo Luiz...Cahill...Cole...Terry.
- baadaye atoke Luiz aingie Ivanovic.
- kati mikel na ramires
- mbele hazard..mata..victor
- sub apa atoke victor aingie oscar
- afu kutegemea na ushindi tutaupata dk zipi atoke hazard aingie azpilicueta ama bertrand
- demba ba amalizie
Na game litakua letu.