Mvina
JF-Expert Member
- Aug 2, 2009
- 997
- 34
Unaongea sana lakini hausemi goli la tatu ni offside! Jaribu kukubali kwamba mmebebwa, vinginevyo mlikuwa mnachezea kichapo.
Game ya jana upepo ulikuwa umerudi kabisa upande wetu hadi mchezaji wao wa kumi na mbili alipoingilia kati. Hii hali Fa wanatakiwa wawe makini inauma sana.