juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Dirisha la usajili linafungwa leo hii ,huku tukiwa hatujasajil mchezaj yeyote
Tuchel alitka zaidi emerson arudi,ila kutokana ma mkataba uliokuwepo tuneshindwa kumrudisha emerson hii ni baada ya kuweka kipengele cha kumuuza moja kwa moja lyon mwishon mwa msim
Aliyerejea ni Kennedy, hope atatusaidia kama lwb
Performance nzuri ya Malang Sarr hivi karibun upande wa LB naona ukatupa matumaini
Hasa na baada ya formation kubadilishwa ili kuendana na wachezaj waliopo.4222
Ila tutegemee summer kuna wachezaj wengi itabidi waondoke, na tusajil kwa makin sio kwa mihemko,
Summer tunahitaj
Replacement ya AC, huku kuna uwezekano wa Rudiger akasign mkataba mpya, na back up ya James, Azp kuna uwezekano akaondoka hii ni baada ya yeye kutaka mkataba wa miaka 2 huku kukiwa na option ya kumuongeza mwaka mmoja, huku uongozi ukitaka kumpa 1 yr na option ya 1yr kumuongeza
Mid mmoja wa kumrith Kante (Tchouamen/Rice)
Attacking Mid
Na LW/RW moja wapo.
Academy wanatakaorudi
Gallagher
Broja
Colwill
Huku kuna taarifa zikisema kuanzia hii ungwe ya pili tuchel anampango za kumpa game time Harvey Vale