Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,507
- 14,805
TUMELALA YOOOOOOOOH
Humu hutaiona wiki nzima, ukitaka kuipata kaitafute kwenye jukwaa la urembo na vipodozi hua inashinda huko ikiono huku kumeharibika.Takataka chuga ikwapi leo mbona imekimbia uzi wao.
TucheleweNitanyengeneza nyimu ambanyo nyila nyimu itaogopa kunyeza nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani N'golo kante kamgalagaza tena KDB? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumekubali mkuu. [emoji28]Nyie kenge wa blue amkeni kudadeki ,Kama mnaweza mtufuate pale juu Sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutu.....kajamaa kalikuwa kanahema mpaka kanatia huruma
Nawewe uwe na aibu bhana yaani kazi kuzungukia uzi wa wenzio tu tengeneza uzi wa man city uwe unachat mwenyewe na kujijibu mwenyewe, alafu shabikia tim yenye changamoto sio tim kila siku inashinda tu [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie kenge wa blue amkeni kudadeki ,Kama mnaweza mtufuate pale juu Sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipa yoyote anafungwa ile acha lawama mbona saves zilizofanyika husemiHapo ndio umuhimu wa Mendy unapoonekana. Hapo tu.
Mendy amefungwa magoal mangapi kama yale?Kipa yoyote anafungwa ile acha lawama mbona saves zilizofanyika husemi
Hatujambo mkuu. Kipara ameamua kumwadhibu koch wetu ipasavyoHabari zenu title pretenders
Hamjambo?