Poleni fans wote wa the blues kwa kichapo cha leo mshamuachia man city point 6 mnakaribisha baadae pale viunga vya villa pack muone pira biriani.





Hapo ndio umuhimu wa Mendy unapoonekana. Hapo tu.Kwa sisi wacheza game ile aliyopiga De Bruyne inaitwa Box R2 kipa hadaki labda atangulie kwenda upande ule kuusubiria mpira.
Continho anawasubiri usiku.Hivi nyie cheltako mnacheza mpira kweli haiwezekani mpaka sasa mechi inaisha kipa wa city ajagusa mpira kabisa.
Aggregate Ass.anal ametobilewa 7-1 na man city. Home and Away.Kinabo mmoja anakuambia ngoja tukutane nao round ya pili tuwaonyeshe