Ni kweli mfarisayo, lakini Chelsea imepoteza "character".
chelsea ya Mourinho, Ancelotti au Di Matteo haikuwa hivi. Kwa maoni yangu, huyu jamaa anajua kwamba hawezi kuleta kombe lolote, na pia anajua kwamba atafukuzwa..lakini lengo lake ni pesa tu..Chelsea walipaswa kujua aina ya makocha ambao wanaendana na utamaduni wa Chelsea. Chelsea imekuwa timu ambayo 'haifi' kwa urahisi. Lakini chini ya Benitez imekuwa sawa tu na timu nyingine za kiwango cha kati. Kinachofanya timu kama Barcelona kuwa juu kwa muda mrefu ni aina ya makocha. Wao hutafuta makocha ambao wanaendana na utamaduni wao wa pasi fupi-fupi..