Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Demba Ba, angekuwa mchezaji wa Man U yule beki angepewa kadi nyekundu na kufungiwa mechi kadhaa!
Unakumbuka yule dogo wa Swansea ambaye alikuwa hataki kutoa mpira, Hazard alifanywa nini?
Hata Uingereza kuna siasa nyingi kwenye mpira..
Lakini kusema kweli Torres na Benitez wameambukiza Chelsea ugonjwa mbaya!
Watamkumbuka Di Matteo!

Hivi yule beki wa Swansea alivyopiga mpira na kichwa cha Van Persie alipewa kadi gani?
 
Nachikia ati Check mate kavunjika kidole ati ni kweli? .. ... ...peas of ants au Invisible Mungiki brother or let alone mentor ing ------ aje a-comfirm hapa. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2273310-174E3D4B000005DC-556_634x401.jpg

Don't tell anybody I put this pic
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2236795-01C6FAAC000004B0-503_634x658.jpg

Wamebana wameachia khe khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Ni kweli mfarisayo, lakini Chelsea imepoteza "character".
chelsea ya Mourinho, Ancelotti au Di Matteo haikuwa hivi. Kwa maoni yangu, huyu jamaa anajua kwamba hawezi kuleta kombe lolote, na pia anajua kwamba atafukuzwa..lakini lengo lake ni pesa tu..Chelsea walipaswa kujua aina ya makocha ambao wanaendana na utamaduni wa Chelsea. Chelsea imekuwa timu ambayo 'haifi' kwa urahisi. Lakini chini ya Benitez imekuwa sawa tu na timu nyingine za kiwango cha kati. Kinachofanya timu kama Barcelona kuwa juu kwa muda mrefu ni aina ya makocha. Wao hutafuta makocha ambao wanaendana na utamaduni wao wa pasi fupi-fupi..
Kweli kabisa, ila sio aina ya makocha 2 bali ata usajii wa wachezaji umekuwa mbaya mara hii, wamenunua wachezaji ambao wamezoea kucheza mpira wa chini na England timu nyingi ucheza mpira wa juu na Counter attack datc y imekua ngumu msimu huu kuwaka
 
Demba Ba, angekuwa mchezaji wa Man U yule beki angepewa kadi nyekundu na kufungiwa mechi kadhaa!
Unakumbuka yule dogo wa Swansea ambaye alikuwa hataki kutoa mpira, Hazard alifanywa nini?
Hata Uingereza kuna siasa nyingi kwenye mpira..
Lakini kusema kweli Torres na Benitez wameambukiza Chelsea ugonjwa mbaya!
Watamkumbuka Di Matteo!

So unamaanisha Newcastle walibebwa? Van Persie alibabuliwa mpira wa kichwa na beki wa Swansea lakini hakuchukuliwa hatua yoyote na refa wala FA, Chelsea imepata kunufaika na makosa ya marefa mengi tu (Sina maana kuwa mmebebwa wala kupendelea kwa kuwa sina ushahidi). Kuna msimu drogba alifunga goli la offside dhidi ya Utd na hatukulalamika, the same season mlitufunga goli la foul, refa alitoa foul baada ya Cole kudive bila kuguswa na Fletcher na baada ya foul kupigwa Wes brown alishikwa na Drogba ali asiucheze ule mpira na Terry akafunga goli bila kukabwa
 
Mbona mashabiki wa manure mnapenda kulalamika kuhusu goli la Drogda kuwa offside. Hii mechi ilikwisha kwa Chelsea kushinda 2-1. Cha ajabu kabisa ni kwamba hakuna hata mmoja wenu ambaye anaongelea hilo goli la Manchester lilifungwa vipi.!! Kama kweli unajali kama mshabiki wa mpira, tafadhli naomba unipe maoni yako kuhusu goli hilo lilifungwa na Macheda. Kila mtu anajua lilifungwa kwa MIKONO lakini sijawahi sikia chochote. Hivyo ukiondoa goli la Drogba (offside) na la Macheda (handball) unabaki na matoko ya Chelsea 1-0 ManU, au sivyo?! Au kwa sababu Macheda ni ManU basi anaruhusiwa kufunga anavyotaka?! Maoni please!
 
Soma mtiririko wa hoja ulipoanzai sina maana ya kulalamika kama unavyodhani tatizo ni kwamba mtu analalamika kuwa kitendo alichofanyiwa ba bila kuchukuliwa hatua ni kwa sababu tu ba si mchezaji wa Man Utd kitu ambacho si kweli hata Utd huwa inaumizwa tu na maamuzi mabovu/mabaya ya marefa.
 
ni kwa sababu Ba n mwafrika fullstop!
 
article-0-165E5369000005DC-329_468x286.jpg

Who'll appear today Fern the tor or a mata of oscar wild?
Maybe
hazards .. ... to outfox lou ... .. is khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ngojeni chacha Invisible Mungiki Brother aje chacha kono mbele, basi kutoka Kibera limechelewa kidogo .. ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yan unaona shida gani kutupa hongera zetu??!
Sisi ndo Le Bleus bana..!!!!
 
Tukupe hongera bila kufahamu matokeo? Wapi
Mungiki brother et al? au basi limepata pancha nini? Wacha fujo wekeni picha nikiweka mimi mtazifungia .. ... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom