Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Majuto mjukuu khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tumemwona hata Mungiki brother kaibuka kutoka Kibera na picha zake, chacha kama huamini ni -umafioso ni nini? Hakuna level playing field hata kwenye forums ... ...Aibu! Keshokutwa muwepo hapa ... ... .. kabla ya kubwabwaja .. ...
BTW magoli yenu yote batili ... ... goli la kwanza kulikuwa na faulo na goli la pili mzinga wa dive .. ... angalieni goli tulilofunga sisi hakuna mkwaruzo .... hamuwezi kusema .. ... why AIBU inawasuta.