Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiu mpira tuliocheza mpaka tunascore hizi goal mbili hapa mwisho ndio mpira tunatakiwa kucheza tukikutana na timu za calibre ya Liverpuru.

Ni mwendo wa kupiga mawe tu.

Tumekosa goal mbili za wazi kabisa.
Nakubali mwamba 42774277 tupo pamoja tangu siku imeanza leo
 
Kenge wa darajani japo mmeanza kwa kuzingua ila naomba niwapongeze maana kuanzia dakika ya 38 mmepiga mwingi sana mpk liverkuku wakapoteana.
Kumbe mnajifanyaga fanyaga tu wasenge kumbe kukaza makalio mnajua.
Hii gemu mkishinda OllaChuga Oc atatusumbua sana jukwaani.
 
Yule aliyesema pulisic mzigo, happy New year kwako!
Kante ni bonge la mchezaji, very inteligent.
Hata hivyo naona mentality ya timu imebadilika na Liverpool ni wabovu nyuma kuliko hata Chelsea
Chelsea shida kubwa iko kwa Chalobah, tangu arudi majeruhi form yake bado haijarudi
Kule mbele bado wale watoto akina Mount an Havertz wanaremba wakipata mpira
 
Ng'olo Kante ni mtu na nusu
 
Kenge wa darajani japo mmeanza kwa kuzingua ila naomba niwapongeze maana kuanzia dakika ya 38 mmepiga mwingi sana mpk liverkuku wakapoteana.
Kumbe mnajifanyaga fanyaga tu wasenge kumbe kukaza makalio mnajua.
Hii gemu mkishinda OllaChuga Oc atatusumbua sana jukwaani.
Subiri moto wa second half.
 
Wasiwasi wangu mwingine ni Alonso vs Salah
Goli la Salah ni very easy goal , Alonbso na Mendy hawakufanya juhudi yeyote ya kublock
Na Chalobah naye anaangalia tu, angekuwa Christansen hapo angejirusha mwili mzima kuzuia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom