Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Hii game iliisha kipindi cha kwanza kama Pulisic angeweka kambani zile mbili.Hiu mpira tuliocheza mpaka tunascore hizi goal mbili hapa mwisho ndio mpira tunatakiwa kucheza tukikutana na timu za calibre ya Liverpuru.
Ni mwendo wa kupiga mawe tu.
Tumekosa goal mbili za wazi kabisa.
Yaani Liverpool wangekuwa watumwa na pressure kubwa, ila hii come back imependeza mno
Tushuhudia game ya maana sana kipindi cha pili.

