Kepa huwa anafungwa magoal yakizembe either anachelewa kujirusha au sijui ni kimo , ukiangali mendy save anazofanya kwa kepa unaweza hesabu ni goal, angalia fa cup final dhid ya leicester goal alilofungwa kepa na tilemans halaf angalia save alizofanya mend dizain ya mashot ya vile amartey dhid mendy msimu huu,
- KEPA sio mzuri kumzidi Mendy hasa kwenye kuokoa mashuti
- Ila pia nakubaliana na KEPA kuwa wakati ule wa Lampard iliyokuwa inatugharimu kufungwa hovyo ni mfumo uliokuwa mbaya wa kujilinda yaani defensive system was very poor
- Mendy akienda afcon january tutajua kama Kepa ni mbaya au ni mfumo wa kujilinda ndio ulikuwa mbovu
Kepa ana ugonjwa wa kutoona mbali anahitajika avae miwani, Kepa ukishampgia shut la mbali tu hesabia goli. Ila one against one anasave vizuri tu. Yaani yupo virce versa na magolikipa wengine.Kepa huwa anafungwa magoal yakizembe either anachelewa kujirusha au sijui ni kimo , ukiangali mendy save anazofanya kwa kepa unaweza hesabu ni goal, angalia fa cup final dhid ya leicester goal alilofungwa kepa na tilemans halaf angalia save alizofanya mend dizain ya mashot ya vile amartey dhid mendy msimu huu,
Kuna saves mendy anafanya kwa kepa tunahesabu ni goal
TT hakutaka kuwarisk Rudiger or Silva jana maana kipindi hichi kila baada ya siku 3 tuna game, alihitaj hao wapumzike, wasije pata injury naoKwea mechi ya jana
Barkley
Sarr
Saul
ni takataka hawastahili kucheza first 11 ya Chelsea
Sarr tangu mwanzo sipendi uchezaji wake, hayuko tactical pale ni ugali tu upo, mimi kwa maoni yangu Sarr hafai hata sub ya Chelsea. Jana aliacha matobo mengi hadi inatia kichefuchefu. TT alitakiwa amuingize Rudiger mapema
Chrtistansen naye anacheza tu vizuri wakiwepo Rudiger na Silva
Anyway, timu yetu ikiwa na first eleven yake yote hakuna timu ya kuiogopa
hata awe
Sisi tatapiga tu
- Bayern
- Real Madrid
- Lile
- Ajax
Incase injury ya chilwel ikiwa anaweza kosa ucl round ya 16 ni bora tutafute lwb january,Kwea mechi ya jana
Barkley
Sarr
Saul
ni takataka hawastahili kucheza first 11 ya Chelsea
Sarr tangu mwanzo sipendi uchezaji wake, hayuko tactical pale ni ugali tu upo, mimi kwa maoni yangu Sarr hafai hata sub ya Chelsea. Jana aliacha matobo mengi hadi inatia kichefuchefu. TT alitakiwa amuingize Rudiger mapema
Chrtistansen naye anacheza tu vizuri wakiwepo Rudiger na Silva
Anyway, timu yetu ikiwa na first eleven yake yote hakuna timu ya kuiogopa
hata awe
Sisi tatapiga tu
- Bayern
- Real Madrid
- Lile
- Ajax
Kwa iyo umesahau kama 2008 tulibeba UCL na EPL tena. Na tuliwapelekea moto kotekoteKama Mancity na PEP wanataka UCL waache kuweka priority EPL, makombe haya mawili mahitaji yake ni makubwa kwenye kuchosha wachezaji na hivyo ni Manure tu walibahatika kubeba EPL na UCL mwaka 1999. Hakuna tena timu nyingine na ikitokea ni bahati sana
Sawaa mkuu, wacha nitunze akiba ya maneno. May siyo mbalii
- Usajili wa mchezaji yeyote ni gambiling
- Form ya mchezaji inapanda na kushuka
- Uhamisho wa mchezaji kwenda timu nyingine na au ligi unaweza ukamfavor au ukamkataa
- Sio kila wakati mchezaji mzuri anakuwa mzuri, Kane ni mfungaji mzuri sana yuko wapi sasa,
- Lukaku kacheza mechi za mwanzo tu kapata injury, hizi alegations ungezitoa mwisho wa msimu ningekuona una point
Hiyo final ya UCL nimekumbuka mlibebwa na refa, katunyima penalti mara mbiliKwa iyo umesahau kama 2008 tulibeba UCL na EPL tena. Na tuliwapelekea moto kotekote
Draw ni J3 na siyo leo jioni.Njia ya kutetea ubingwa wa Ulaya kwa Chelsea FC utakuwa challenged kwenye hatua za mtoano baada ya kushidwa kuongoza kundi lake H na Juventus akitokea kinara.
CheLsea ni ya pili kwa kundi lake kwa hiyo uwezekano wa kukutana kwenye mtoano na Manchester United, Liverpool na Man City haupo sababu timu za taifa moja hazikutani kwenye hatua hii.
Vile vile uwezekano wa kukutana na Juventus haupo sababu walikuwa kundi moja kwa hiyo chelsea inaweza kujikuta midomoni mwa timu zifuatazo: Ajax , Real Madrid, Bayern Munich, na Lille
Ndugu mshabiki wa Chelsea unaona je ni timu gani walau afadhali ungeomba ikutane na Chelsea na ipi isikutane nayo kabla ya droo ya leo jioni kutoka ?
Mkuu usikute ni huyu jamaa 😆👇Una hasira sana mkuu
Mpira ni mchezo wa wazi, kila mtu anaona kinachofanyika uwanjani.
Hao waliomuona Lukaku anafaa ndo hao pia waliona Barkley na Werner wanafaa.
Kubali kataa, kukosea kupo mkuu!!
Kama unakumbuka vzr priority yenu ilikuwa Haland, alipokosekana ndo mkamchukua Lukaku
Prof. Ralf Rangnick anasema ukishindwa kusajili wachezaji sahihi, ni heri kutokusajili kuliko kusajili wachezaji ambao siyo sahihi
itakuwa Feb mkuu kuanzia tarehe 15 hivi, ni kweli timu bila Kante, Mateo inapwaya - Jogihno mzuri akiwa na mmoja ya hawa watu.Ufafanuzi mzuri mkuu.
Wachezaji wetu wote wakiwa fit na hakuna injuries, Timu yoyote tutakayepangwa naye hapo lazima tumfungashie virago.
Ila kwa hali hii ya Majeruhi hicho kikombe cha Bayern, Madrid na Ajax kipite mbali, Sijajua sana ubora wa Lille kwa sasa.
Sioni hiki kiungo chetu cha kuunga na soletepu (Cheek, Saul, Joghnho) kikitawala mbele ya kiungo ya Bayern & Madrid.
Tuombe Mungu Kante, Kovacic warudi uwanjani kabla ya mechi ya mtoano tena warudi wakiwa full fit sio kucheza na maumivu.
Yes, huyu kiungo aliyetoka madrid Saul hamna kitu pale, tulipigwa - viungo wa nguvu tunao 3 - akiongezeka mmoja ni bora zaidi. Mbele naona tuko vizuri, beki pia tuko vzrJanuary itapendeza tukisajili kiungo mkabaji.
Hajui lolote lileDraw ni J3 na siyo leo jioni.
Nakukubali sana Teacher wa mpira !! we ni mnouma saaana kwa mbinu.
Hata kama mngemtaka Lille,nusu fainali msimu huu mtaisikia kwenye bombaSisi kama chelsea tunamtaka Bayern au Ajax [emoji23]
Hata msimu uliopita mlileta ngonjera zenu hvyohvyoHata kama mngemtaka Lille,nusu fainali msimu huu mtaisikia kwenye bomba