42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Hapo mgumu ni Bayern na Ajax... Ila madrid na Lille ni wachumba tu.Mshindwe wenyewe kwenda robo,
Hapo mgumu ni Bayern na Ajax... Ila madrid na Lille ni wachumba tu.Mshindwe wenyewe kwenda robo,
Nasikia liver kaweka rekodi kwa timu za malkia kushinda game zote group stage, yaani hata chelsea hawajawahiHapo mgumu ni Bayern na Ajax... Ila madrid na Lille ni wachumba tu.
Hongera kwao....Nasikia liver kaweka rekodi kwa timu za malkia kushinda game zote group stage, yaani hata chelsea hawajawahi
Ile liva sio timu ya kukutana nayo kwa sasa ni hatariiiNasikia liver kaweka rekodi kwa timu za malkia kushinda game zote group stage, yaani hata chelsea hawajawahi
Werner is better than lukaku [emoji23][emoji23][emoji23]Lukaku ndy mlie sajiri aje kumsaidia warner kufunga?
Waambie wenzako hawajui tuIle liva sio timu ya kukutana nayo kwa sasa ni hatariii
Lukaku tunawauzia Totte msimu ujao....Alafu tabia ya sisi liverpool tukifungwa au tukidraw mnatufata kwenye uzi wetu nakuanza kutubeta muache hiyo tabia jana mmedraw mmeona mwana liverpool kaja kuwabeza? [emoji23][emoji23][emoji23] mpira una wakati unaweza kua bora kipindi fulani mpaka ukaona Uefa au ndio tunachukua leagie hivyo kumbe mambo hubadirika, mashabiki wa chelsea mbadilike bhana msiwe mashabiki mandazi au kama kuku mwenye nyege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Divork Origi is better than Lukaku, bisha uone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao uliowataja walikuwepo mechi ya kwanza dhidi ya zenit pale darajani vipi goli zilifika hata mbili?Mkuu hivi mashine zetu Chilwell, Kante, Kovacic, jog, Silva, Rudger, Chalobah, James zote zingekuwepo kikosini zenit wangekufa 5 bila.
TT ametengeneza balance ya kikosi kwa wachezaji hao. Wasipokuwepo ndio unaona tunacheza makida makida
Kwenye mtoano zikiwepo zote full fit, the blues ileeeeee fainali.
Yani hata hujui kuwa team za nchi moja kuwa 16 bora hazikutani au waliiongoza makundi hawakutani haf mtu anabishana na mtu kama wewe kweli mpira umeavamiwa na watotoMimi sioni ugumu wa Liverpool tunamtaka huyo Liverpool ,buyern sijui ajax ....
Ni kuwawashia Moto tu[emoji170][emoji170][emoji170]
Cityzen chairman
Wewe umeongelea mchezo dhidi ya Zenit kwamba laiti kama mashine zenu zingekuwepo mngewafunga goli tatu namimi nikakumbusha kuwa hao uliowataja walikuwepo kwenye mechi dhidi ya hao hao zenit nakupata ushindi kwa mbinde.Unaongela mechi 1?
Hapa tunaongelea mafanikio tuliyopata kama timu hao jamaa wakiwa uwanjani.
Juzi wametupa makombe mawili la UCL na super cup.
Na wakirudi kikosini ni mwendo wa ushindi tuu.
Tunajua wapinzani wetu wanatamani Kante asirudi uwanjani, eti madocta washauri akatwe mguu.
Mashine inarudi veri soon.
Wewe kenge wapi nimesema watakutana ....!Yani hata hujui kuwa team za nchi moja kuwa 16 bora hazikutani au waliiongoza makundi hawakutani haf mtu anabishana na mtu kama wewe kweli mpira umeavamiwa na watoto
Did we concede a goal?Hao uliowataja walikuwepo mechi ya kwanza dhidi ya zenit pale darajani vipi goli zilifika hata mbili?
We bado mtoto mdogo... Maana hata hujui una chance ya kukutana na timu zipi... na timu zipi huwezi kukutana nazo kabisa hatua inayofuata....Mimi sioni ugumu wa Liverpool tunamtaka huyo Liverpool ,buyern sijui ajax ....
Ni kuwawashia Moto tu[emoji170][emoji170][emoji170]
Cityzen chairman
Watu walikuwa wanakushangaa kipindi kile unaponda usajili wa Lukaku (Sasa naamini Toney alikuwa mbadala mzuri na kwa bei nzuri), sa ivi naona washaanza kuelewa.tani 10, yule jamaa ni kenge sana.
Mkuu wewe ni fala kweli ,huko shuleni huwa mnasomea Nini mpaka sentesi ya maneno hayo matano huwezi kuelewa kudadeki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]We bado mtoto mdogo... Maana hata hujui una chance ya kukutana na timu zipi... na timu zipi huwezi kukutana nazo kabisa hatua inayofuata....
Unaonekana una misimu miwili toka uanze kushabikia mpira.