Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siku mliyoshinda goli nne dhidi ya juventus nilikuja kuwaambia humu kuwa juventus sio kipimo halisi cha kujiona mnatisha ulaya nzima kutokana na juve kushuka kiwango lakini mkanivamia mara ooho sijui mpira mara ooho wivu utakuua. Timu yetu inaogopwa na kila timu.
Mapangoni
 
Mpaka chelsea inachukuwa champion league msimu uliopita kwani ilikutana na timu zipi
Mshabiki mwenzenu aliona dalili mbaya akataka kufunga na kusali ili asijepangiwa Bayern. Sasa mnasema mnaogopwa ulaya nzima kuchangamsha genge tu kumbe kiuhalisia mnamuogopa Bayern
 
Mshabiki mwenzenu aliona dalili mbaya akataka kufunga na kusali ili asijepangiwa Bayern. Sasa mnasema mnaogopwa ulaya nzima kuchangamsha genge tu kumbe kiuhalisia mnamuogopa Bayern
Sasa Kama unamkwepa Bayern halafu unataka uchukue kombe unategemea Nani akusaidie kumfunga?

Naombea tupewe Bayern tuu
 
Mshabiki mwenzenu aliona dalili mbaya akataka kufunga na kusali ili asijepangiwa Bayern. Sasa mnasema mnaogopwa ulaya nzima kuchangamsha genge tu kumbe kiuhalisia mnamuogopa Bayern
Punguza ujuaji... siyo kwa sababu unacheza na yoyote then ndio utamani kupangiwa na yeyote....

Hiyo bayern chelsea nikiwa full mziki anakaa vizuri tu.
 
Kuna wakati acha ukweli ubaki kuwa kweli naanza kuamnini kuwa kikosi chetu huenda tulikuwa tunashinda kwa morari tu basiii sare ya 3 kwa 3 kweli unategemea nn
Hiyo timu iliyocheza ulitaka ishinde goal ngapi?

Hivi mmeshaangalia match hata za moja ya Carabao kweli?

Plus mliangalia ile match ya kwanza ya zenit vs chelsea?
 
Hiyo timu iliyocheza ulitaka ishinde goal ngapi?

Hivi mmeshaangalia match hata za moja ya Carabao kweli?

Plus mliangalia ile match ya kwanza ya zenit vs chelsea?
Washabiki maandazi hao kaka,yaani haoni utofauti wa chelsea yenyewe na hii,
 
Tumemaliza wapilli katika kundi letu.
Hatua ya 16 huenda tukakutana na mmoja wa wafwatao
Ajax
Real madrid
Bayern
Na mshindi wa kundi G(salzburg/lille/wolfsburg/sevilla)
 
Tumemaliza wapilli katika kundi letu.
Hatua ya 16 huenda tukakutana na mmoja wa wafwatao
Ajax
Real madrid
Bayern
Na mshindi wa kundi G(salzburg/lille/wolfsburg/sevilla)
Ajax

Real Madrid

Bayern

Lille

Tujichagulie hapo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom