Na wewe kumbe ni shabiki maandazi kwamba kufungwa na west ham tena goli la deflection ndio kupotea au man city walivyofungwa nyumbani na crystal palace wao walikuwa ndio wanaanza kuimarika sio?Mkuu uko sahihi kabisa ila watakuelewa baadae.
Kwa mtu anaejua mpira chelsea ndio inaanza kupotea hivyo.epl kugumu sana tayari wameshawajulia hao.
Sasa vichapo kwakwenda mbele.msimu ujao huyo kocha wao watamtimua tu,Epl naijua vizuri.