Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuyaache haya maneno, tukiwa tunashinda huwa hatuyasemi ila siku tukifungwa tunaanza tim yetu imejaza matakataka,
Kuna game unacheza vibaya unapata matokeo na kuna game unacheza vizuri hupati matokeo na kuna game unacheza vibaya na unaadhibiwa

Tumekuwa tukifanya individual mistake hiv karibun,

Remember injury nazo zinaturudisha nyuma, chilwell,kova,kante,chalobah na leo tena kai kaumia tena

Bado tupo kwenye mbio, if tukistahimili vizuri huu mwezi .
Tuchel out, tunamtaka Sosha sisi
 
Matakataka tu.

Hahahahahaahahah
 
Yaan Sijui Ntaambia nini watu, hapa nilipo nipo kama Nimepigwa na Kitu kizito sana Kichwani..... Natamani kulia Nashindwa, Hasira sijui nizihakishie wap hizii yaan nimevurugwa kbsa na haya matokeo...

Poleni sana Chelsea wenzangu pia poleni sana wale ambao mko kweny hali kama yangu
Haya majeruhi du tutateseka sana
 
Westham kawafunga ....

Man utd
Liverpool
Chelsea ..

Except the cityzen ....harafu ile game yetu against westaham tuliimaliza mapema kabisa tuliwamaliza wakati snow inamwagika Hatari ,yaan hata mpira hauonekani vzuri
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wew boya west ham tulimkalisha 2kwa1 kwao bwege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom