Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Loftus kimeo sana hapo katikati amebaki lupiga chenga zisizo na faida
Aliyekutoa FA nani?Wewe kima west ham sis tumlipa kichapo
Piga kabisa hawa uzur wa westham huwa hawakubari kushindwa [emoji23][emoji23][emoji23]Piga mbwa hawa kima hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama walivokupiga wewe?Piga kabisa hawa uzur wa westham huwa hawakubari kushindwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Oya kim joo hari yako vipi huko sheikKama walivokupiga wewe?
Hatuna hata droo daah, tumelala hapa.
West ham nao wanachelewa kutuinua kwenye viti
Tulia dawa ikuingie...usikukuruke nitamwaga nje....Wewe ni mamluki wa aser8, livakuku,mwanitesa united au manshit