lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,908
Kwa Chelsea huo uwiano ni kinyume chenuTumefunga goli 43, salah+jota+mane=28. Kwaio goli 15 nyingine zimefungwa na wachezaji wengine wastani mzuri sana.
Kwa Chelsea huo uwiano ni kinyume chenuTumefunga goli 43, salah+jota+mane=28. Kwaio goli 15 nyingine zimefungwa na wachezaji wengine wastani mzuri sana.
Wote hawa wanakuja kuvukwa na cr7 watake wasitake. Mnyama kaja akiwa kakuta ligi ishaanza now keshawakaribia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii frontline ya Liver inatisha sana.View attachment 2031137
Asije tu kuwa uchochoro kama Alonso. Alonso amekuwa akiipa timu mzigo tangu enzi za Lampard. Anacheza vizuri mechi chache halafu ghafla anaenda likizo, uwanjani anakosa concetration. Saul yeye ni weak labda kocha angemchezesha kwenye winger kama ni mzuri kwenye kushambulia, bora angewajaribu Azpilicueta kwenye hiyo nafasiLeo kwenye press conference, TT amesema ataanza kumchezesha SAUL nafasi ya LWB apokezane na Alonso.
Kwamba Alonso hataweza kucheza mechi zote mwenyewe nafasi hiyo kwa kipindi hiki Chilwell ni majeruhi.
Amesema amefikia maamuzi hayo baada ya kumuona SAUL akicheza vizuri sana nafasi hiyo kwenye mazoezi
Kwamba SAUL ni mzuri sana kwenye kushambulia kuliko kukaba. Na anaenjoy sana kwenye kushambulia.
Kwahiyo kesho TT anaweza kufanya surprise ya kumpanga SAUL LWB.
Kila mtu ashinde mechi zake. Mambo ya kuombeana mabaya si mahali pake hapa.Wale wa westham tujuane mapema ......
Kwema kabisa.Oyaa The Blues niajee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila mtu ashinde mechi zake. Mambo ya kuombeana mabaya si mahali pake hapa.
Blues for life.
Tupo sambamba mkuu kwani mimi na wewe tunaham Cheltako ang'oke pale juu.Wale wa westham tujuane mapema ......
Sawa sisi tunasubiri tuone mtakavyo wachanganya mabeki wa Westham [emoji16][emoji16][emoji16]Kumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time. Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.
Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki.
Mimi nawaombea njaaa ...Leo westham awapunguze makali akidogo .....Kila mtu ashinde mechi zake. Mambo ya kuombeana mabaya si mahali pake hapa.
Blues for life.
Ssa mkuuu tulimsajiri wa nini ssa kma hatumuamini tumuuze ssa tubaki na hao wa kupisha pishana kulia kushoto kuwachanganya timu pinzani kma usemavyoKumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time.
Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.
Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic, Mount wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki wa timu pinzani.
Lukaku ni wa muhimu kuongezewa muda wa sub hata kama hataanzaKumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time.
Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.
Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic, Mount wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki wa timu pinzani.
Lukaku ni wa muhimu kuongezewa muda wa sub hata kama hataanza
Azplicueta pumzi ishakata, akicheza rwb tu inakuwa shughuliAsije tu kuwa uchochoro kama Alonso. Alonso amekuwa akiipa timu mzigo tangu enzi za Lampard. Anacheza vizuri mechi chache halafu ghafla anaenda likizo, uwanjani anakosa concetration. Saul yeye ni weak labda kocha angemchezesha kwenye winger kama ni mzuri kwenye kushambulia, bora angewajaribu Azpilicueta kwenye hiyo nafasi
We unazani kila utake mchanganya atachanganyikiwa? Ngoja mkajichanganye wenyewe.Kumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time.
Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.
Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic, Mount wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki wa timu pinzani.