Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,622
Yaani aachii mpira kwa haraka anakaa nao sanaRLC ana tatizo bado, akiwa na mpira anadhani yuko peke yake hadi anapokolewa, sometime he is good at dribling and sometime very booring

Chelwowowo alikuwa anatikisa wowowo kweliHahaaaaa pigaaaa chelwowo ...
Jana Chelsea yakajipitisha na wowowo ,Sancho akawasha kimokoooo ....referee akawasaidia kuchomoa ....vinginevyo mngelala yooooh

Kwa hyo Samuel unataka kuniambia duniani hizo ndio club bingwa wengine ni club za pombe?FIFA CLUB WORLD CUPView attachment 2027293
Jamaa hakuwa kwenye kiwango chake kabisaHivi jana mlimuelewa RLC alivyocheza
Tomas Tuchel hasimpage Tena Odi sio mchezaji wa kucheza Chelsea. Anakosa goli hapa na hapa. One against one close to the Goal frame.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
EvidenceBallon Dor Winers
Hakuna mwakilishi wa Chelsea kuchukua kikombe cha klabu bora - Naona wameamua kususia
- Lionel Messi wins the 2021 Ballon d'Or! = The 7th Award
- Chelsea win Club of the Year 2020/21
- Gianluigi Donnarumma wins the Yashin Trophy
- Alexia Putellas wins the 2021 Ballon d’Or Féminin!
- Robert Lewandowski wins Striker of the Year
- Pedri wins Kopa Trophy
Hata Jorgninho aliyeshika nafasi ya 3 hakuwepo
Wee una uhakika hiyo picha ni ya kwenye tukio???
France ni watu michongo tu nimeona cr7 kalalama sanaBallon Dor Winers
Hakuna mwakilishi wa Chelsea kuchukua kikombe cha klabu bora - Naona wameamua kususia
- Lionel Messi wins the 2021 Ballon d'Or! = The 7th Award
- Chelsea win Club of the Year 2020/21
- Gianluigi Donnarumma wins the Yashin Trophy
- Alexia Putellas wins the 2021 Ballon d’Or Féminin!
- Robert Lewandowski wins Striker of the Year
- Pedri wins Kopa Trophy
Hata Jorgninho aliyeshika nafasi ya 3 hakuwepo
Cr7 ndio basi tenaFrance ni watu michongo tu nimeona cr7 kalalama sana
Mbona Cjaona ubaya wowoteBallon Dor Winers
Hakuna mwakilishi wa Chelsea kuchukua kikombe cha klabu bora - Naona wameamua kususia
- Lionel Messi wins the 2021 Ballon d'Or! = The 7th Award
- Chelsea win Club of the Year 2020/21
- Gianluigi Donnarumma wins the Yashin Trophy
- Alexia Putellas wins the 2021 Ballon d’Or Féminin!
- Robert Lewandowski wins Striker of the Year
- Pedri wins Kopa Trophy
Hata Jorgninho aliyeshika nafasi ya 3 hakuwepo
Hivi vingine ni vikundi vya masela tuu ambavyo vinafanya mazoezi ya kukimbia uwanjaniKwa hyo Samuel unataka kuniambia duniani hizo ndio club bingwa wengine ni club za pombe?
Walishindwa kusafiri kutokana na sheria za covidBallon Dor Winers