Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maoni yangu dhidi ya Juve

Ili tumpige Juventus inabidi kocha aendelee nampango wakucheza bila striker kwasababu gani? Game ya kwanza walituwini cos plan yao ilikuwa nikumkaba Lukaku na bahati mbaya Chelsea mipira Mingi ilikuwa inapigwa kwenye box ambapo Lukaku inamkuta akiwa amekabwa na wachezaji wawili mpaka watatu tukija kwenye swali langu kuu kwanini game ya leo Chelsea icheze bila natural striker ingawa report zinasema Lukaku amerudi.
Faida ya kutokuwa na natural striker ni kuwa mabeki wa Juventus watashindwa kujua yupi wa kumkaba kutokana na movement za Ziyech, Pulisic watakazokuwa wanafanya lakini pia itaacha nafasi kwa watu kama Reece James, odoi na Benchilwell kupita kwa maana nyingine ina unlock defence nzima ya Juventus.Baadae ndio kocha anatakiwa amuingize Lukaku kama mambo yatakuwa magumu lakini kwamaana ya kuanzishisha first eleven Lukaku asianze kutokana na majitaji ya mechi na aina ya mpinzani mwenyewe.

lembu
Antonio Conte
Cash Money Forever
 
leo tt ataweza kuja na false 9 ila target man kwa ile backline ya juve atuwez leo tutahitaji prolific wingers kama odoi na pulisic ni wamuhim sana pale mbele leo tungekua na m2 kama wenner angetuokoa sana

Sent using motorola 78
 
Maoni yangu dhidi ya Juve

Ili tumpige Juventus inabidi kocha aendelee nampango wakucheza bila striker kwasababu gani? Game ya kwanza walituwini cos plan yao ilikuwa nikumkaba Lukaku na bahati mbaya Chelsea mipira Mingi ilikuwa inapigwa kwenye box ambapo Lukaku inamkuta akiwa amekabwa na wachezaji wawili mpaka watatu tukija kwenye swali langu kuu kwanini game ya leo Chelsea icheze bila natural striker ingawa report zinasema Lukaku amerudi.
Faida ya kutokuwa na natural striker ni kuwa mabeki wa Juventus watashindwa kujua yupi wa kumkaba kutokana na movement za Ziyech, Pulisic watakazokuwa wanafanya lakini pia itaacha nafasi kwa watu kama Reece James, odoi na Benchilwell kupita kwa maana nyingine ina unlock defence nzima ya Juventus.Baadae ndio kocha anatakiwa amuingize Lukaku kama mambo yatakuwa magumu lakini kwamaana ya kuanzishisha first eleven Lukaku asianze kutokana na majitaji ya mechi na aina ya mpinzani mwenyewe.

lembu
Antonio Conte
Cash Money Forever
Lukaku acheze kama boya, waandaliwe wafungaji wengine, wao wakimkaba Lukaku wawili watatenegenza nafasi ya kufunga kirahisi
 
Maoni yangu dhidi ya Juve

Ili tumpige Juventus inabidi kocha aendelee nampango wakucheza bila striker kwasababu gani? Game ya kwanza walituwini cos plan yao ilikuwa nikumkaba Lukaku na bahati mbaya Chelsea mipira Mingi ilikuwa inapigwa kwenye box ambapo Lukaku inamkuta akiwa amekabwa na wachezaji wawili mpaka watatu tukija kwenye swali langu kuu kwanini game ya leo Chelsea icheze bila natural striker ingawa report zinasema Lukaku amerudi.
Faida ya kutokuwa na natural striker ni kuwa mabeki wa Juventus watashindwa kujua yupi wa kumkaba kutokana na movement za Ziyech, Pulisic watakazokuwa wanafanya lakini pia itaacha nafasi kwa watu kama Reece James, odoi na Benchilwell kupita kwa maana nyingine ina unlock defence nzima ya Juventus.Baadae ndio kocha anatakiwa amuingize Lukaku kama mambo yatakuwa magumu lakini kwamaana ya kuanzishisha first eleven Lukaku asianze kutokana na majitaji ya mechi na aina ya mpinzani mwenyewe.

lembu
Antonio Conte
Cash Money Forever
Exactly hata ambangile alisema hichi kitu kwenye uchambuzi leo asubuhi
 
Inasemekana Lukaku leo ataukosa huu mchezo lkn pia huenda Werner atarejea
Predicted line up 3-4-2-1

------------------------------------Werner------------------------------------

-----------Pulisic -------------------------------------- Mount------------

Chilwell ---------- Jorginho -------------Kante ------------ James

Rudiger ------------------------Silva --------------------Christensen

------------------------------------Mendy------------------------------------
 
Nazani ataanza Ziyech badala ya mount
 
TT azidi kumpa nafasi ya kucheza bwana mdogo ODOI, dogo anazidi kuimarika kila siku aisee.

Cholobah dogo haitaji tena introduction, yuko vizuri sana. Nafurahi captain wetu Azipu anapata muda wa kupumzika kulingana na umri wake.

Like bao la pulisic Lilianza na movement ya chalobah aisee dogo nilimkubali sana
 
Line Up ya Leo 3-4-2-1

------------------------------------Pulisic------------------------------------

-----------Odoi-------------------------------------- Ziyech------------

Chilwell ---------- Jorginho -------------Kante ------------ James

Rudiger ------------------------Silva --------------------Chalobah

------------------------------------Mendy------------------------------------
 
Line Up ya Leo 3-4-2-1

------------------------------------Pulisic------------------------------------

-----------Odoi-------------------------------------- Ziyech------------

Chilwell ---------- Jorginho -------------Kante ------------ James

Rudiger ------------------------Silva --------------------Chalobah

------------------------------------Mendy------------------------------------
Leo tunambangua Juve 2-0, waliniudhi sana mechi ya kwanza, tulicheza vizuri halafu wao wakabeba point zote
 
Timu iliyoko benchi inatosha kumfunga Juve
1637697506325.png
 
Kante katoka dk ya 37 kaingia RLC sijui shida ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom