Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Cheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili 😂😂😂
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Sisi tupo kwetu hapa ww huku umefuta nini kama sio kuwashwa..? Nenda huko kwenu na timu lako tutalisukumia mogoli km yote. Kumbe ww ni Nyumbu au .?
 
Hiv kweli ole anaweza kutufunga? Nitashangaaa sana ila nimeangalia mpira wa man u hawachezi kitimu
 
Wenzangu naona mmenda kuzurura mitaa ya arsenal na unyumbuni! Rudini home wakuu
 
Ziyech yupo moto ila Mendy performance yake inafika hatua ushangai kabisa
Alipoulizwa kuhusu kuuzwa kwa Ziyech January, kocha kasema hakuna kitu kama hicho na yeye (Ziyech) kocha amemuweka kwenye mipango yake
 
TT azidi kumpa nafasi ya kucheza bwana mdogo ODOI, dogo anazidi kuimarika kila siku aisee.

Cholobah dogo haitaji tena introduction, yuko vizuri sana. Nafurahi captain wetu Azipu anapata muda wa kupumzika kulingana na umri wake.
Hata mimi napenda style ya uchezaji wa Odoi, attacking minded na anaonyesha nguvu na mzuri kwa dribling. Anastahili muda wa kutosha hata Werner akirudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom