Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Nani anafuata?


Yaani wehu sn hawa Leicester City. Tulikuwa tuwauwe kabisa...Hawa Kunguni walikuwa wanakufa hata 7.
Kichapo cha mfululizo kwa mechi 3 toka kwa Chelsea bado kinamchachafya huyo zumbukuku wa Man CityKama ni easy and it works embu ni team yako ifanye basi. Ama nini mkuu
Leicester City 0 vs Chelsea 3.Nishasema na sifuti ....
"Nyie Chelsea ni wapaki bus tu na hakuna timu England iliyochukua ubingwa kwa kupaki bus kudadeki " over .....
umekubal shooKudadadadeki chelwowo yanaweza kubeba epl kimasiara hivi hivi ......
Subili December



ii chelsea itawaua na unafk wenuAnayechukia Chelsea lazima wapate magonjwa ya moyo, ama presure.umekubal shooii chelsea itawaua na unafk wenu
Sent using motorola 78
Kudadadadeki chelwowo yanaweza kubeba epl kimasiara hivi hivi ......
Subili December






Rudiger alikuwa anamueleza nini kipa wa Leicester Kasper? Atamfunga kwa kichwa na kamfunga kweliRudger 1st goalView attachment 2017705
Potechinoi nilikuwa nampa respect lakini nimegundua ni mweupe peeeLeicester City 0 vs Chelsea 3.
Sisi tunapaki bus na kufunga magoli na point tatu. Wao wanaendesha bus lakini hawafungi
Kwa hiyo unamtaka psg uefa falaa wewe ,huogopiii!!!!!Potechinoi nilikuwa nampa respect lakini nimegundua ni mweupe peee
Ni kama vile haifuatilii Chelsea
Timu inapaki mabasi na kila mchezaji anafunga, timu inayoongoza kwa mabeki kufunga
Tunaongoza ligi dhidi ya timu zisizopaki mabasi ila wanafungwa kiholela
Naomba tukutane naye UCL tumkomeshe na afunge bakuli lake
Kocha ambaye ana zidiwa CV na de mateo yule alotupa UEFA CL 2012. Puchettino anaichukia chelsea maana ilimbania mechi ya mwisho msimu mmoja uliopita nyuma ilikua abebe EPL sasa hakuamini alikaziwa balaaPotechinoi nilikuwa nampa respect lakini nimegundua ni mweupe peee
Ni kama vile haifuatilii Chelsea
Timu inapaki mabasi na kila mchezaji anafunga, timu inayoongoza kwa mabeki kufunga
Tunaongoza ligi dhidi ya timu zisizopaki mabasi ila wanafungwa kiholela
Naomba tukutane naye UCL tumkomeshe na afunge bakuli lake