Kikosi kizuri
Kikosi kizuri
Na nyie pakini busNishasema na sifuti ....
"Nyie Chelsea ni wapaki bus tu na hakuna timu England iliyochukua ubingwa kwa kupaki bus kudadeki " over .....
Timu ya leo under 25 yo ni sita na over 25 yo ni watano tu
Ipo siku yao tuWanapaki Tran kabisa![]()
Wapo mapangoni mkuu hapo wanaitukana Leicester tuuTunaongoza 2 bila huko...
Naona mamluki wamekaa mbali na huu uzi...
Leicester city wangese tuWapo mapangoni mkuu hapo wanaitukana Leicester tuu
Waliwapiga 4-2Leicester city wangese tu
Mtasubiri SanaIpo siku yao tu
Umeona Pangoni moto unawaka umeamua kujitokeza hadharani?Leicester city wangese tu
Na wewe nenda kapaki treni kabisa sio busNishasema na sifuti ....
"Nyie Chelsea ni wapaki bus tu na hakuna timu England iliyochukua ubingwa kwa kupaki bus kudadeki " over .....
Nyie ni wapaki bus tu maarufa pale England
Kila mtu anajua ....
Achana nae huyo atakusumbuaWapaki basi kivp wakati ndio timu yenye uwiano mzuri wa kufunga na kufungwa
Huyo jamaa atakuwa n nyumbuUmeona Pangoni moto unawaka umeamua kujitokeza hadharani?
Hebu angalia pira hilo....
Kila mchezaji anayepewa nafasi anatia goal.
Subiri Salah na Mane wavunjwe miguu ndio mtajua hamjui Kunguni nyinyi

Huyo sio nyumbu ni arse8Huyo jamaa atakuwa n nyumbu![]()