Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Tulipaki basi na kumtungua nusu fainali ya FA, EPL na fainali ya UEFA.Kwani wakati mnacheza na man city mlifanyaje?
We bwege kweli nasemea mechi iliyo chezwa tarehe 25/09/2021 mlitoka ngapi ngapi?Tulipaki basi na kumtungua nusu fainali ya FA, EPL na fainali ya UEFA.
Kwani unateseka sana?
Vipi City asiyepaki basi yuko nafasi ya ngapi?
Mpira si kushambulia na kuucheza kila wakati bali unahitaji;
1. Techniques
2. Tactics
3. Possession
4. Consistency
5. Winning mentality
6. Team philosophy
7. Team working spirit.
8...................
Amka usingizini na heshimu Mabingwa wa Ulaya Chelsea FC 2020/2021, Man City bado inaugulia maumivu ya kipigo cha mechi 3 mfululizo.
Povu liliokutoka linamaanisha jinsi gani unaendelea kuteseka na Man City yako.We bwege kweli nasemea mechi iliyo chezwa tarehe 25/09/2021 mlitoka ngapi ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tatzo hujibu swaliPovu liliokutoka linamaanisha jinsi gani unaendelea kuteseka na Man City yako.
Sikukuuliza kuwa City yuko nafasi ya ngapi pamoja na kupaki kwetu basi?
Pole sana Kijana, hii ndiyo dunia.
Si kila unachokitaka au kukipenda lazima kipatikane au kitimie kwa wakati wako.
Chelsea ni Mabingwa wa Ulaya 2020/2021 na tunaendelea kutesa....[emoji23]
Leo nmeamua kupitia post nyuma...Mkimfunga Madrid navua nguo zote natembea utupu kutoka dar mpaka morogoro ...
Hii takataka Chelsea ndio imfunge Madrid kudadddddddeki ..!
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mliwafunga man city B ya kina sterling na jesus mnavimba ...
Kwanza tunakuja kutangaza ubingwa kwenu ,then kama tukikutana final..
itabidi muandike barua ya kujihudhuru kwenye mashindano kwan moto mtakaokutana nao ni kilio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheltako mkishinda nawapa mimi na wife wangu kama bonus kutesa kwa zamu wenzenu manulee tushapoa vifuraha vimeanza kurejea.
[emoji23]Game mnakufa.
Nimeona formation na kikosi
Unless mkabe mkatoane kwenye penati
Huyu alitekeleza hii ahadi?[emoji23]Ukibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani nipo lazi nibakwe ila sio cheltako ashinde leo cheltako akishinda leo nikamatwe nibakwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheltako mkishinda nawapa mimi na wife wangu kama bonus kutesa kwa zamu wenzenu manulee tushapoa vifuraha vimeanza kurejea.
Hahahaha yalipanick ni balaa😂😂😂😂Tunapumzika baada ya jana kufanya mashambulizi ya kutosha kwenye jukwaa la liver kuku...
Jana tumewapelekea moto.
Avuee nguo zote halafu apite mbele ya wauni uone Kama watamuacha salama.Leo nmeamua kupitia post nyuma...
Huyu akishawahi tekeleza hii ahadi?
Tulishampakaga mafuta mgongo huyuLeo nmeamua kupitia post nyuma...
Huyu akishawahi tekeleza hii ahadi?
Wote hao wake zetu saivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana mavi yana harufu Kali sanaHuyu alitekeleza hii ahadi?[emoji23]