Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watoke HAvertz na Ziyech waingie Lofts Cheek na Werner
Hivi inakuwaje Chelsea tumesajili striker lakini bado zaidi ya mechi kama 5 zote hatupati magoli kipindi cha kwanza?

Je tunakamiwa sana sababu ni mabingwa wapya wa Ulaya?

Je timu pinzani zimeshagundua mbinu za TT?

Je wachezaji ndiy bado tatizo la kutoelewana mbele?

Je Wachezaji wameshachuja?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Viungo wetu hawatengeneze nafasi
 
Ziyech, havert hawatengenez chance za kufunga anahitajika mtu wa kuibomoa ngome ya Juventus maana washenzi wamepaki bus
 
Inavyoonekana Chelsea wanaendelea na form yao mbaya
 
Ndo uwezo wenu umeishia hapo
Hivi inakuwaje Chelsea tumesajili striker lakini bado zaidi ya mechi kama 5 zote hatupati magoli kipindi cha kwanza?

Je tunakamiwa sana sababu ni mabingwa wapya wa Ulaya?

Je timu pinzani zimeshagundua mbinu za TT?

Je wachezaji ndiy bado tatizo la kutoelewana mbele?

Je Wachezaji wameshachuja?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2013 ikiwa ni msimu mmoja tu baada ya kubeba UCL juventus walitunyuka 3-0 kule Turin na kupelekea kwenda kucheza Europa.

8 years now tunakutaka na Juventus tukiwa tumetoka kuchukua UCL.

This time tunaanzia Turin, Je mambo yatajirudia?
Niliyasema haya kabla....

Kwa jinsi Zenit alivokuwa mgumu, naona Uropa ikituita....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom