Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Subili mje etihadi ....Hamna timu ya kuifunga chelsea goal 3. Takataka nyie.






Huna timu ya kuifunga chelsea goal 3 uwe unaelewa.Subili mje etihadi ....
Wewe situlishawahi 6-0 hapo darajan![]()
Ndio Soka,hatuwezi kushinda mechi zote,sometimes kufungwa napo kuna faida ili ujue umekosea wapi na unarekebishaje.Hilo daraja Leo limevunjwa na Jesus![]()
Zile goli site alikufunga Nan ,mbona unakuwa kilaza wewe ,Huna timu ya kuifunga chelsea goal 3 uwe unaelewa.





Huna unalolijua weweHuna timu ya kuifunga chelsea goal 3 uwe unaelewa.
Timu yako kimeoHuna unalolijua weweView attachment 1952714
Bingwa Ulaya... aliyepata Ubingwa baada ya kukusokomeza...Kumbe nabishana na pimbi ,...
Basi sawa
Mbona wewe tushakumezesha mara 3 mfululizo?kimeo kakimezesha darajani.
Kwani recovery inahitaji approach ya kocha, kwani kama ni counter si recovery ndio ingefanya ifanikiwe. Leo Kante hakuwa kwenye form kila mtu aliyeshuhudia ameona hivyo. Hii approach ya leo haikuwa na tofauti na ile ya UCL final, the only diference TT alitumia viungo watatu badala ya wawiliKante sio tatizo. Tatizo lilikuwa na approach kwa ujumla ya TT haikufanya kz... Huo ndio ukweli! Maana Chelsea ilikuwa na uwezo wa kukaa na mipira lkn approach yao ilikuwa ni kuwaacha city watawale mpira wao wavizie counter attacks tu.... Kitu ambacho kilionekana kutokuzaa matunda kabisa.
Walitakiwa wacheze mpira wao wakianza kwanza kwa kuhakikisha wanampoka city possession na kucheza ktk half ya city.
Na ukiangalia sn jinsi game ilivyo kuwa ni km vile Chelsea alitaka apate matokeo positive lkn si kwa kutumia nguvu sn km walivyo kutana na spurs maana wanaona watakuwa na kz kubwa sn baada ya siku tatu kucheza na Juve tena away.... Kwa hiyo ni km walihitaji kuwa calm little bit lkn wakipata matokeo mazuri.
Mtaona game ya Juve namna Chelsea itakavyo kiwasha.
Mbona Hata wewe ulifungwa 6 na Chelsea.. MzeeSubili mje etihadi ....
Wewe situlishawahi 6-0 hapo darajan![]()

Pain killer yet we are still the reason you're without Champions league trophy 🏆 so who is the boss? 🤣🤣🤣🤣🤣Timu bovuuu Sana ...
Leo tuemwaonesha mpira wa kwenye kitabu ...
Kenge wa bluee nyie![]()
Kwenye ligi utafungwa utajiuliza kama sio kwa aliyekufunga basi ni kwa yeyote atakayejipitisha mbele yako. Chelsea bado tunayo nafasi kubwa ya kubounce back kwa yeyote atakayejipitisha mbele yetu. Wa ikwanza akiwa Southampton.The Champions League final match was the most important and glad we won that, I will be watching a replay today and tomorrow , no EPL matches for today and tomorrow thanks 🔵🔵🔵
Depal.Tumelala yooooooh
Msimu huu Zimeshachezwa game km 7 hv.....kabla ya kukukojolea uefa tulicheza na real Madrid nusu final...mount hakufunga? Acha kucopy mihabari bila kufanyia uchanganuziUnataka nianze kukuhesabia ,hujui hata mchezaji wako ,mbaya zaidi unashabikia Chelsea ....
Rudi arsenal huko![]()
