Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpira tulianza kucheza dakika ya 70
20210925_163441.jpg
 
Pep leo alimfanyia hw tuchel, city leo walikuwa bora zaidi yetu kuanzia dakika ya kwanza mpk ya mwisho plan yetu waliweza kuiua,
City wangeweza shinda goal hata 3,

Mbinu za tuchel leo ziligonga mwamba city waliweza kututawala na kuhakikisha counter zote wanaziua

Next game tuko away dhidi ya juventus the. Away to soton,
Kwakweli, huyo ndiye Pep. Mzee wambinu

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Pigi miti hizi takataka za darajan ...

Vunja hilo daraja la Stamford bridge ,kudadekiii

Piga mita kante,kudadekiii ,leo nilisema nyie mbwa mtajuta kuingia uwanjan falaa nyie ...

Kante Yuko wapi ????

Rudiger ???

Hao wote pep kawatembezea motooo mkali
Wachezaji wa man city mpira ulivyoisha wameshangilia kama wameshinda UEFA inaonekana kila siku huwa mnaangalia replay ya ile Fainali
20210925_163441.jpg
 
Peleka Moto hatari ....

Timu la kifala ,linacheza mpira wa kuvizia ,Hilo pipa lenu leo tumelipelekea motoooooooo

Pigaaa takataka zote za London zoteee

Siku zote nasemaga Chelsea ni vilaza tu ,hakuna kitu hapo ...

Mnacheza mpira wa kizaman ,mmekutana na tiktak style ya pep full kuteseka haaaaaaaaaa
 
Pigaaaaaa kenge wa bluee nyie .,...

Hili sijui ni timu la wapi ,hao wachambuzi uchwara wanaoisifia chelsea ,Leo sijui wataongea Nini kudadekiii ....

Pelekaaa Moto mpaka Hilo daraja limewaaka Moto. Na kupasuka
 
Magazet ya kesho

" Pep gardiola avunja daraja la Stamford bridge kwa kutumia miujiza ya Jesus "

"Pep gardiola awawashia Moto Chelsea na kumla kiboga TT"

"Pep gardiola awapelekea Moto Chelsea na kikosi chote Cha Chelsea kupoteana "

"Pep gardiola awawashia Moto kenge wa blue wa darajan na kuwanywa na Hennessy ya baridi"

Kama sio Mendy na Silva leo ingekuwa 0-4
Form ya Kante imetuangusha leo
RLC kwa form hii anastahili kuwepo kwenye plan za TT
Kilichobaki ni ku-bounce back kwenye mechi na Southampton
Mkuu mbona unajitahidi sna kuchambua Mpira umeshindwaje kuona kuwa Jorgino ndio alikuwa weaklink leo?, alipashwa kuwa bench 1st half, Konte kecheza kuziba hayo magap
 
Kama sio Mendy na Silva leo ingekuwa 0-4
Form ya Kante imetuangusha leo
RLC kwa form hii anastahili kuwepo kwenye plan za TT
Kilichobaki ni ku-bounce back kwenye mechi na Southampton
City asingekubali kufungwa mara ya 4 mfululizo wakati huo huo alishatolewa na Chelsea kwenye FA, kufungwa EPL na UEFA.

Jana nilishawaambia wadau kuwa hii mechi ya leo ushindi kwetu ni drop yoyote.

Kiujumla City leo walikuwa vizuri tangu kipindi cha kwanza, tujipange mechi zijazo maana tulikuwa na mlima wa;

1. Arsenal

2. Liverpool

3. Tottenham

4. Man City
 
Thomas Tuchel:

"Jorginho had some problems, Thiago cannot start. Maybe it is on me, I didn’t make the best choices today."

[via @btsportfootball]
 
Magazet ya kesho

" Pep gardiola avunja daraja la Stamford bridge kwa kutumia miujiza ya Jesus "

"Pep gardiola awawashia Moto Chelsea na jumla kiboga TT"

"Pep gardiola awapelekea Moto Chelsea na kikosi chote Cha Chelsea kupoteana "

"Pep gardiola awawashia Moto kenge wa blue wa darajan na kuwanywa na Hennessy ya baridi"

Ulifikiri tutashinda mechi zote tutakazocheza? Hamchelewagi kumtusi kipara
 
Magazet ya kesho

" Pep gardiola avunja daraja la Stamford bridge kwa kutumia miujiza ya Jesus "

"Pep gardiola awawashia Moto Chelsea na kumla kiboga TT"

"Pep gardiola awapelekea Moto Chelsea na kikosi chote Cha Chelsea kupoteana "

"Pep gardiola awawashia Moto kenge wa blue wa darajan na kuwanywa na Hennessy ya baridi"

Miujiza ipi? Kwani ni mara ya kwanza Tuchel kufungwa?
 
Hii ndio city ninayoijua Mimi ,...

Pep akikuamulia win ,win kudadeki huchomoki......

Pigii mitiiiiiiiiii

Kenge wote wa blues sssssssss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom