Anapewa mkataba soonRudiger to Bayern Munich
Na ChelseaRudiger to Bayern Munich
Anampa fitness Tu ...na czan km atacheza DKK 90Naona sasa TT anamfanya Kante kama muwa arobaini pale katikati, tutegemee kumkosa mechi na Man City kwa sababu ya injury
Pale benchi hakuna tena kiungo mkabaji, yuko muoka mikate tuAnampa fitness Tu ...na czan km atacheza DKK 90
Nani anaweza nisaidia link ya libe streaming ya hii game maana naona kama siwez kuiwahi. Plz kama una link nisaidie
Huyu agent anazitumia PSG,Madrid na Bayern ili Chelsea wampe ofa nzuri rudiger hiyo ni njia ya kijasusi wanaitumia mawakala wengi ili wachezaji wao wapewe ofa nzuriRudiger to Bayern Munich
Sarr anapiga dangerous tackles sana kudos kwa Chalobah, Kepa na James kwa kukeep clean sheet had half-timeRLC anacheza vizuri kuliko Saul
Kule nyuma ni Chalobah na James tu Sarr badoi sana