Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Luka alipohojiwa baada ya mechi ya leo kadai kazoea kule italy kufunga magoli kwa nafasi chache anazopata.
“In a league that I had one or two chances a game “ Goes on to score 20+ goals
 
Mendy pale golini anatisha haswa.

Nikiangalia defensive yetu mabeki na kipa huwa nawazaga UEFA.

Kwa uzuiaji huu mechi za mtoano UEFA tunateleza tuu.
Uefa tuna uwezo mkubwa wa kulitetea taji kama tukifuzu vyema hatua ya makundi na kuhakikisha nafasi ya kwanza inakuwa yetu basi uwezekano wa kulibeba tena taji la uefa upo mikononi mwetu. Maana kipa na beki wameimpruvu haswa kwa hapo TT kapaweza sana. Mbele tayari tuna lukaku ni faita Atari..
 
Give him the chance, he will score
chelseafc_20210912_092538_0.jpg
 
Ile pass ya assist aliyopiga Kovacic zinatakiwa zipigwe kila siku, pass inaua safu mbili za mpinzani.

Joginho, Kovacic na Saul uwanja wa mazoezi wajifunze kupiga pass ndefu.
Nadhani jana Lukaku alipohojiwa mojawapo aliyosema ni TT anawataka wachezaji wakirecover mpira wacheze haraka counter kuelekea goli la mpinzani. Kova jana alichofanya ni maelekezo ya bosi, safi sana. Hii kitu ilikuwa haipo kwa Legend wetu FL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom