Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kai Havertz on Lukaku and Werner

Speaking to the Mic’d Up podcast, as quoted by Metro, Havertz said: “[Lukaku] brings a lot of things. He’s a very good striker.

“I think he also grew as a player very much in the last couple of years.

“We all know how tall and how big he is. To have him as a number nine for us all is very good because I think we are a little more flexible.

“We have, for example, Timo [Werner]. He’s a striker who always runs behind and always finds the spaces.

“Now we have another type of striker. It’s just nice to have such a big squad and have so many players. [Lukaku] is one of the best strikers in the world.”
 
Baada ya mechi ya jana kati ya Crystal Palace na Spurs cheki mashabiki wa Palace wanavyosema

1631433579716.png

1631433784611.png
 
Chief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.

Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.

Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.

Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.

Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Mount usiwe n Shaka naye Mzee n Jana Tu alipumzishwa coz kuna games nyingi zinafuata wiki ijayo
 
Chief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.

Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.

Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.

Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.

Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Kwa odoi sawa, ila kwa Conor, yule sio kama Odoi, mfuatilie kwanza mechi zake, hata Havertz hamkuti Conor kwa kiwango chake cha sasa
 
Wachezaji wa Academy ambao mimi nisingependa wauzwe au hata kutolewa mkopo msimu ujao
Pulisic, Odoi na Ziyech wauzwe ila hawa wabaki
  1. Conor Garagher
  2. Almando Broja
 
Chief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.

Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.

Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.

Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.

Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Mimi nikiweka ushabiki pembeni nimeangalia game zote za crystal palace walizocheza....

Kitu anachokionesha dogo huyu hamna midfilder yoyote anakionesha saiv pale chelsea.

Game iliyopita walicheza na Westham alitia goal mbili. Af zilikuwa goal za mazingira magumu sana. Jana kasababisha penati ya goal la kwanza na assist ya goal la tatu.
 
Chief unajisumbua tuu kuhusu huyo dogo, Abraham alifunga magoli mengi EPL still uongozi umemuuza Roma.

Huyo dogo atauzwa kwa buy back clause believe that, the blues inasajili word class player, haina muda wa kuvumilia makinda.

Kwa uchezaji wa ovyo anaondelea nao ODOI dirisha lijalo usishangae akapigwa bei au mkopo akasajiliwa mchezaji wa caliber kubwa.

Angalia impact ya dogo Kai uwanjani kwa umri wake mdogo anacheza like world class player ndio wachezaji the blues inawataka na kuwaamini.

Mount akaze kweli kweli ajihakikishie namba.
Mount kapumzishwa kwasababu alitokea kwenye international games lakini pia kachezeshwa game nyingi Sana kuanzia msimu uliopita mpaka sasa bila kupumzishwa pia kumbuka J'4 tuna UEFA
 
Alonso naye heshima imevuka mpaka Makamu Captain anaingia kagoma kutoa kitambaa, Na captain mwenyewe anaingizwa bado ameng'ang'ania kuwa nacho.
HIvi jaman imekaaje hii ishu...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom