Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msimu wa 2013/14
Kuuza paundi mil 56.6
Kununua paundi mil 105.9 ( Nafikiri kama unafuatilia huu sasa ni msimu wa nne mfululizo Chelsea inawekeza kwenye usajili mkubwa)
Matokeo, kwenye ligi tulimaliza wa 3
Walionunuliwa ni pamoja na Andre Schurle, Samuel Etoo, Willian, Mo Salah, Kurt Zouma NK. (Nemanja Matic ananunuliwa tena kwa mara ya pili baada ya kutolewa mkopo Vitesse 2010 na baadaye kuuzwa Benefica 2011)
Season 13/14
Andre Schurrle£18,000,000Adam PhillipReleased
Marco van Ginkel£8,000,000Amine AflaneReleased
Mark SchwarzerFreeArchange NkumuReleased
Cristian Cuevas£1,700,000Aziz Deen-ContehReleased
Samuel Eto'oFreeBen GordonReleased
Willian£30,000,000BenayounReleased
Christian Atsu£3,500,000Conor CliffordReleased
Isaiah Brown£209,000Florent MaloudaReleased
Stipe PericaUndisclosedHilarioReleased
Bertrand TraoreFreeJames AshtonReleased
Nemanja Matic£21,000,000NorteiReleased
Mohamed Salah£11,000,000Paulo FerreiraReleased
Kurt Zouma£12,500,000Rohan InceReleased
Ross Turnbull.Released
Samuel BanguraReleased
Tom HowardReleasedPrem
YossiReleased
Jeffrey Bruma£2,500,000PTSPOS
Kevin De Bruyne£17,000,000
Juan Mata£37,100,000
Sam WalkerUndisclosed
Michael EssienFree
Total£105,909,000£56,600,000£49,309,000823

Taarifa hii itaendelea muda mfupi ujao
 
Ole Gunnar Solskjaer privately views Chelsea as Manchester United’s biggest title rival ahead of Manchester City and Liverpool

Solskjaer privately fears Thomas Tuchel’s European champions Chelsea more than Man City and Liverpool, according to The Sun
 
Jamani tujikumbushe matarajio ya mashabiki kwa Rose Barkley
  1. The next Lampard
  2. The next Ballack
  3. The next .............................. Je wewe ulimuitaje?
Sasa amegeuka kuwa "CHELSEA FORGOTTEN MAN"
We fala si ndio ulikua unamtetea huyo mume wako hapa. Hujui chochote boya ww.
 
The captain him self
chelseafc~p~CTZq8MzrA2q~1.jpg
 
Chief lembu tunaweza kupata data za:-

[emoji117] Mapato yote ya club kwa mwaka

  • Mauzo ya jezi
  • Mauzo ya wachezaji
  • Ticket uwanjani
  • Pesa kutoka kwa wadhamini
  • Haki za matangazo
  • Zawadi za makombe

[emoji117] Matumizi ya Club kwa mwaka

  • Mishahara/Bonus/ Allowance
  • Usajili wa wachezaji
  • Uwekezaji wa Miundombinu
  • Nauli za ndege
  • Bills
    - Etc

[emoji117] Faida ya kila Mwaka
Tuikivipata hivi tutashukuru sana chief lembu
 
Ole Gunnar Solskjaer privately views Chelsea as Manchester United’s biggest title rival ahead of Manchester City and Liverpool

Solskjaer privately fears Thomas Tuchel’s European champions Chelsea more than Man City and Liverpool, according to The Sun
Kama Tuchel alivosema anataka kuifanya Chelsea kuwa team ya kuogopesha
 
Romelu Lukaku: "Don't ever compare me to Cristiano Ronaldo, never.

"Cristiano Ronaldo is, for me, in the top three best players in the history of football.

"I'm not going to rank him from first to third but he's in there."
 
Kama Tuchel alivosema anataka kuifanya Chelsea kuwa team ya kuogopesha
Hiii timu inayoenda kupigwa na astonvilla ndio inaogopwa ,acha ufala wewe ....

Huyo ole kashachezea kipigo kwa klop na pep sasa sijui anataka kipigo tenaa.....
 
Hatimaye wachezaji watatu waliokuwa waende kwenye mkopo wakakosa timu wamepewa namba ya jezi

Ross Barkley A.K.A Muoka mikate 18
Malang Sarr 31
Lewis Baker 32

Kuna na huyu Harvey Vale no. 68 nimemuona naye yuko kwenye orodha iliyopelekwa UEFA
Huyo Mallan Sarr si alisajiliwaga na F.L toka Barcelona kuja hapo the Blues?

Hajafiti kwenye mfumo wa Kocha TT au shida ni nini haswa?
 
Huyo Mallan Sarr si alisajiliwaga na F.L toka Barcelona kuja hapo the Blues?

Hajafiti kwenye mfumo wa Kocha TT au shida ni nini haswa?
Kama sijakosea Sarr alitokea Ufaransa na sio Barcelona kwa kuona kwamba TT hakumuhitaji kubaki kwenye team ila atolewe kwa mkopo na pre season alikua nae lakini amependelea kubaki na Trevor badala yake inaonekana TT hajafurahishwa nae
 
🚨Maneno ya mchezaji wa zamani wa machester united ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka Gary Neville akiizuungumzia Chelsea.

🗣"wamepata mfumo wa uchezaji ambao unawalinda kutoka kwa mtu binafsi kwa uwezo wake na kujitenga na iyo sasa, imetokana na uzoefu na kuamini wanaweza kushinda kombe la mabingwa ulaya kama walivyofanya msimu uliopita.biashara yao imefanyika vizuri katika dirisha la usajili wanaenda kuwa timu ngumu isiyosimamishwa.

🚨Gary Neville on Chelsea:

🗣“They’ve got a system of playing that protects the individuals from potentially being isolated and that now, with the confidence and the belief they have when you win a Champions League like they did last season and with the business they have done in the transfer window, they are going to be very difficult to stop.”👊

[SkySports]
🔵
 
Kama sijakosea Sarr alitokea Ufaransa na sio Barcelona kwa kuona kwamba TT hakumuhitaji kubaki kwenye team ila atolewe kwa mkopo na pre season alikua nae lakini amependelea kubaki na Trevor badala yake inaonekana TT hajafurahishwa nae
Asante kwa kunisahihisha, ila pia Chifu Lembu itabidi tumsaidie kuwa dogo bado ana 22, japo nadhani yeye kamuyakinsha kuwa ana over 22 years old.
 
Kama sijakosea Sarr alitokea Ufaransa na sio Barcelona kwa kuona kwamba TT hakumuhitaji kubaki kwenye team ila atolewe kwa mkopo na pre season alikua nae lakini amependelea kubaki na Trevor badala yake inaonekana TT hajafurahishwa nae
Alitokea Barcelona baada ya kukataa kusaini mkataba mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom