lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,704
- 25,947
Chochote kilichotokea nyuma ya pazia iwe negative au positive, kwa Chelsea daima ni Good News kwa sababu tutakuwa naye kwenye mazoezi na mechi dhidi ya Aston Villa, pia ataepuka uwezekano wa kupata injury. Haya mashindano ya timu za Taifa huwa inakuwa na injuries kibao kwa vile sijui hao makocha hawajali kwa sababu wanakuwa na mchezaji kwa muda mfupi. Anyway, for me this is good newsSio good news hizo unacceptable behaviour ni zipi? Asije akazileta the blues