Mi nadhani partnership ya Lukaku na Werner pale mbele ndio itakuja na majibu ya kufunga magoli mengi
Werner anapata na kutengeneza nafasi nyingi sana, yuko very sharp. Lukaku hapendi mambo mengi sana pale mbele.
Harvetz, Mount wanajivuta vuta sana pale mbele, mwisho wa siku Lukaku anazingirwa na msitu wa mabeki, anakosa hata nafasi ya kushoot.
Binafsi sipendi sana Lukaku akiwa target man pale mbele anabanwa sana na mabeki, weka Lukaku + Werner tuone hatare pale mbele
Kwa speed ya Werner + usharp wake + Energy yake + asiwe mchoyo kutoa pass ya mwisho kwa Lukaku pale mbele patakuwa moto sana
TT pale mbele apange anavyojua ila Lukaku & Werner waanze kwa pamoja, safu yetu ya ushambuliaji iogopeshe.
Werner ---- Lukaku ----- Mount
Werner ----- Lukaku ----- Ziyech
Werner ----- Lukaku ----- Pulisic
Werner ------ Lukaku ----- Harvetz
Werner ----------- Lukaku
-----------Harvetz------------
(wakati wa kushambualia Harvetz apande juu kushoto, Saul apande juu katikati kuachia makombora)
Werner ------------------- Lukaku
-----------------Mount----------------