OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Woyooo Welcome Saul to Stamford Bridge ..nilikuwa natamani sana hili dili likamilike maana ni midifida mzuri sana apo kati kutachafuka sisi hatuchui ili mradi. Tomas Tuchel anaweza kufanya jambo kubwa sana huu msimu.
This is Chelsea kwa sasa tuna option kibao sana hapo kati. Huyu ni kama Kamanda Nova wakati anatoka Madirid alikuja na option na mkopo then tunamnunua mazima. Walete kati hao matakataka sasa tuwanywe supu EPL, UEFA kabatini msimu huu woyoooooo
CFC