Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-

Kante & Saul

Kovacic & Saul

Joginho & Saul
Kante anamfaa mchezaji mwenye uwezo wa kukaba kwa sababu anafuata mpira hata ukienda mbele, saul anaweza kuwa best match
Kama Kante akiwa Majeruhi, Jorgninho is the next match. Changamoto ni kwamba kila mchezaji ana style yake ya kucheza ambayo itamsababishia kocha kupanga combi kutegemeana na mpinzani zaidi ya Chemistry ya viungo hao
 
Wadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-

Kante & Saul

Kovacic & Saul

Joginho & Saul
Nimeangalia interview yake amesema kwa namna Anavyocheza anaweza akasema yeye ni box to box midfielder ila pia anaweza kusaidia kukaba kama akihitajika kufanya hvyo na kwa game Kadhaa nilizowahi kumuangalia akiwa Madrid yanathibitisha hayo aliyosema kwa maana hiyo nahisi Jojo atakuwa perfect pair kwa Saul Kwan J5 ni sit back midfielder then Saul anatembea na kuachia atomic bombs that's my view ila kuna game zitahitaji Uwepo wa Kanté na akiwepo kante kati na Saul trust me wapinzani muda wote watakua wanakabiwa juu hivyo kulazimishwa wafanye makosa Kwan wote tunamjua kante how good hee is katika kukaba na kufanya forward running
 
TT atakuwa amechukua SAUL kuongeza mildfliders kwa wingi wa mechi na injuries?

Au amemchukua kwa kuwa ana uwezo wa tofauti kulingana na baadhi wa mildfliders wetu hivyo Saul hatakosa 1st eleven?
Yote yanaweza kua majibu chief depth na aina tofaut ya uchezaji kwani saul ana vertical pass flan hiv from midfield to striking force direct kama Malinovyski wa Atalanta yule yaan mbunifu katika kutengeneza nafasi tunaweza tukawa tumepata kiungo mtengeneza magoli hususan kwenye zile counter attack zetu
 
SAUL anafikia uwezo wa MATIC wa Chelsea?

Au ni wachezaji wawili tofauti kwenye style ya uchezaji?
Matic slow sana Saul fast yaan katika final third ya wapinzan ana kitu ambacho Viungo wetu hawana, maamuzi ya haraka na sahihi huyu Saul yuko attack minded hivyo katika miguu yake naona creation of many chances

Naeza nkasema katika Chelsea ya sasa Matic asngekua na namba we are very fast sidhani Kama angeweza Kwenda na kasi yetu kama ambavyo natarajia Saul ataenda na tempo yetu
 
Ile Heda ya Kai ilikuwa Kali sana halafu kuna maboya wa Liverpool wanakuambia ni ilikuwa free Heda. Kwangu Mimi hilo ndio goli of manthi.
Pundit wengi hata wale wasioifagilia Chelsea wameikubali hiyo Header, fans achana nao wao kila kitu kutoka kwa mpinzani ni kawaida, ukiwauliza kama ni kawaida mbona wachezaji wao hawafungi hivyo, kimya, mbona kipa wao bora hakuiweza, kimya, mbona karibia wakabaji 10 (ni Mo Salah tu ndi hakuwepo kukaba) walibaki wanaduwaa badala ya kumfuata Kai, kimya. Hilo goli wasipoangali linaweza kuwa goli la mwezi kwa EPL nzima. Mimi nimeipigia kura mara tatu browser tofauti, hata ningeweza ningepiga mara kumi na zaidi
1630759400864.png
 
Wadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-

Kante & Saul

Kovacic & Saul

Joginho & Saul

Uchezaji wa SAUL na ule wa MATIC unatofauti gani?
Kuna jamaa ana channel YouTube anaelezea vzuri wachezaji strengths and weaknesses zao aliahidi atatoa clip youtube kumhusu Saul kule Twitter ..... Anaitwa nouman nadhani bado hajatoa Ila yupo vzuri

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo uchezaji wa Kante & Saul, utafanana kama ule wa Kante na Matic under Conte?

Wanapishana Kante mbele saul nyuma, Kante nyuma saul mbele
Wote wanauwezo wa kukaba na kwenda mbele. Kante najua yuko very mobile ila sijui mobility ya Saul ikoje
Mimi naona Kovacic anaweza kugeuzwa kuwa backup ya hao watatu asipoangalia, ile kasi yake iliyomfanya kuwa mchezaji bora wa mwaka mwaka juzi sijui Kova kaipeleka wapi
 
Wadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-

Kante & Saul

Kovacic & Saul

Joginho & Saul

Uchezaji wa SAUL na ule wa MATIC unatofauti gani?
Tusisahau pia kuwa yupo Mount naye mara chache anachezeshwaga kwenye MF
Wapo akina RLC, Lwis Baker na Ross Barkley labda hawa ni Karabao Cup
Yuko pia Chalobah, huyu ni mzuri sana kwenye DM nadhani zaidi hata ya CB
 
Jamani tujikumbushe matarajio ya mashabiki kwa Rose Barkley
  1. The next Lampard
  2. The next Ballack
  3. The next .............................. Je wewe ulimuitaje?
Sasa amegeuka kuwa "CHELSEA FORGOTTEN MAN"
 
🚨 On this day in 2020, Chelsea signed Kai Havertz for £72 million.

He repaid every single penny in one unforgettable night and is getting better and better every game! Here’s to many more years of Kai havertz 💪🏼 🔵🔵
 
Hatimaye Arsenal wamfuata Conte kumuomba aje North London
Sijui kama Conte atakubali na ile structure ya Arsenal
 
Esien aelezea Drogba na Jose Morinho walivyomshawishi kukataa Manure na kujiunga na Chelsea

"I went to Malouda’s house for a barbecue and then during the barbecue Drogba called him and he and Drogba started speaking because they are very close and then Drogba asked him, ‘When you see Michael, whenever you see him, can you tell him Jose wants his number, Jose wants to talk to him?’ but then he said, ‘No, Michael is here, we’re having a barbecue!’.

“So he gave the phone to me and I started speaking to Drogba and that’s how we started."

"I passed on my number to him and he passed it on to Jose and that’s when everything started. It was a tough transfer saga.”
 
Msimu wa 2008/09
Kuuza paundi mil 35
Kununua paundi mil 24.2 (Faida 10.8)
Matokeo, kwenye ligi tulimaliza wa 3
Walionunuliwa ni pamoja na Jose Bosingwa nk
Season 08/09
Deco£8,000,000Steven Sidwell£5,000,000
Carlos De Silva MinerioFreeClaude MakeleleFree
Carlo QuaresmaLoanTal Ben-Haim£5,000,000
Jose Bosingwa£16,200,000Andrei ShevchenkoSigned
Shaun Wright Phillips£9,000,000
Khalid Boulahrouz£4,000,000
Hernan CrespoFree
Wayne Bridge£12,000,000Prem
Carlo CudiciniFreePTSPOS
Total£24,200,000£35,000,000-£10,800,000833
 
Msimu wa 2009/10
Kuuza paundi mil 6
Kununua paundi mil 23.5 ( Hakukuwa na faida)
Matokeo, kwenye ligi tulimaliza wa 1
Walionunuliwa ni pamoja na Nemanja Matic nk
Season 09/10
Daniel Sturridge£4,000,000Ben Sahar£1,000,000
Ross TurnbullFreeJimmy SmithFree
Yuri Zhirkov£18,000,000Frank NoubleUndisclsoed
Nemanja Matic£1,500,000Sergio TejeraUndisclsoed
Claudio Pizarro£5,000,000
Andrei ShevchenkoFreePrem
Tom TaiwoUndisclosedPTSPOS
Total£23,500,000£6,000,000£17,500,000861
 
Msimu wa 2010/11
Kuuza paundi mil 12
Kununua paundi mil 94.6 ( Biashara ilikuwa kichaa msimu huo ila tuliweka msingi na matokeo yake yalionekana msimu uliofuata Tores kutupa UEFA ya kwanza)
Matokeo, kwenye ligi tulimaliza wa 2
Walionunuliwa ni pamoja na Ramires, Fernando Torres, David Luiz nk (kwa Torres tulivunja benki)
Season 10/11
Yossi Benayoun£5,000,000Michael BallackReleased
Ramires£18,300,000Juliano BellettiReleased
Fernando Torres£50,000,000Joe ColeReleased
David Luiz£21,300,000Seth Ofori-TwumasiFree
Matej DelacFreeMiroslav Stoch£2,500,000
DecoFree
Scott Sinclair£500,000
Ricardo Carvalho£7,000,000Prem
Franco Di Santo£2,000,000PTSPOS
Total£94,600,000£12,000,000€82,600,000712
 
Msimu wa 2011/12
Kuuza paundi mil 24.6
Kununua paundi mil 87.8 ( Biashara ilikuwa kichaa msimu huo ila tuliweka msingi na matokeo yake yalionekana kuwa bingwa wa UEFA ya kwanza)
Matokeo, kwenye ligi tulimaliza wa 6
Walionunuliwa ni pamoja na Thibaut Courtois, Lukaku, Juan Mata, Gary Car Hill, Kevin De Bruyne NK.
Season 11/12
Thibaut Courtois£6,000,000Gokhan Tore£1,000,000
Oriol Romeu£4,350,000Jacopo SalaUndisclosed
Romelu Lukaku£20,000,000Michael Mancienne£3,000,000
Ulises Dávila Plascencia£1,750,000Jack Cork£1,200,000
Juan Mata£23,500,000Danny PhilliskirkFree
Raul Meireles£12,000,000Yuri Zhirkov£13,200,000
Gary Cahil£7,000,000Slobodan Rajkovic£2,000,000
Kevin De Bruyne£6,700,000Philipp Prosenikundisclosed
Patrick Bamford£1,500,000Alex£4,200,000Prem
Lucas£5,000,000Nemanja MaticUndisclosedPTSPOS
Total£87,800,000£24,600,000£63,200,000646
 
Msimu wa 2012/13
Kuuza paundi mil 20
Kununua paundi mil 92 ( Nafikiri kama unafuatilia huu sasa ni msimu wa tatu mfululizo Chelsea inawekeza kwenye usajili mkubwa)
Matokeo, kwenye ligi tulimaliza wa 3
Walionunuliwa ni pamoja na Eden Hazard, Thorgan Hazard, Cesar Azpilicueta, Victor Moses, Demba Ba NK.
Season 12/13
Marko Marin£6,500,000Jacob MellisFree
Eden Hazard£32,000,000Didier DrogbaFree
Thorgan HazardUndisclosedSalomon KalouFree
Júnior Oscar Dos Santos Emboaba£25,000,000Jose BosingwaFree
César Azpilicueta£7,000,000Rhys TaylorFree
Victor Moses£9,000,000Daniel Sturridge£12,000,000
Demba Ba£7,500,000Raul Meireles£8,000,000Prem
Wallace£5,000,000PTSPOS
Total£92,000,000£20,000,000£72,000,000753
 
Romelu Lukaku, 28, amesema kilabu yake ya zamani Inter Milan kilimtoa kwenye "shimo refu" baada ya kuondoka Manchester United mnamo 2019. Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji alijiunga na Chelsea msimu huu wa joto. (Daily Mail)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom