Alishafanya maamuzi hata kabla ya kwenda kuangalia, yaana jana nilijisikia kama naangalia movie za kihindiPoor referee, yeye amefika pale amekuta picha mnato, badala ya kuangalia video replay limerudi uwanjani na likichwa lake kama fenesi.
That's also my opinion. Penalty wangepewa lakini red card to James hapana!Ile ilikuwa ni penalty sawa ila sio red card kwa sababu James hakudhamiria kuuzuia kwa mkono kama Taylor alivyodai. Involuntary mpira uligonga goti ukaelekea kwenye mkono
Mashabiki wa Chelsea wameanzisha petition ya kutaka Anthony Taylor hasichezeshe game za chelseafc hadi sasa imefika more than 27kYule refa asichezeshe tena mechi zetu, tumkatae.
Its a penalt n wakat huo huo hakupaswa kutoa red cardDaah sasa mpira ukianzia pajani ukaenda mkononi ndo inakuwaje.?
Anthony TaylorView attachment 1913544
Huwez compare tukio la suarez vs ghana na la james vs liverpoolYeah hata nikikikumbuka kombe la dunia south Africa Suarez alishika ,ikawa red card na penati juu
Villa anakufa 3 bila na hiv JT kaondokaYote kwa yote wachezaji wetu wamecheza vizuri sana, vile ndio bigwa anapaswa kucheza. Wachezaji inaonyesha kuna kitu wanataka, sasa hasira zote tunahamishia kwa Villa.
Hiyo combination ndio nayoisubilia kwa sanaYaan timu ikishakuw kwenye pressure bas ye n hamna jipya tena.. kuna mda anacheza pouw saana leo nadhan kante alikuw 50% ya performance yake.. thatx why tumeshambuliwa sana.. kova kw dk alizocheza kaperforme vzur ..mount lukaku na kai wanatakiw kuzoeana zaid ili wasipishane kwenye movement inatakiw one chance one goal.. ngoja tuone combination ya werner na lukaku mbele
Hapana alicheza vizuri na alitegeneza faulo zilio hitajika ku-dilei mpira, sio kila mpira aupeleke mbele alijua tuko pungufu kwahiyo alicheza kuligana na hali yetu mimi nilimkubali sanaa takitikisi zake.....ni bonge la middle field wachache wata muelewa tu.Ila jana tackits zake zilishindwa kufanya kazi kisawasawa
Mapema sana kuhukumu, tumpe muda.Lukaku ametulia sana ila tatizo lake la muda wote n hawezi kuwatoka maadui (hawezi kupiga chenga kirahisi)
TT Kocha alitulia sana kimbinu baada ya wachezaji wa Chelsea FC kuwa pungufu.Jana amefanya kazi kubwa kwenye kukaba baada ya kuwa pungufu, kila mahali alikuwa anafuata mpira kukaba.
Joginho anakuwa na jukumu la kuchezesha timu Kante anapokuwepo.
Kovacic sio Kante, Kovacic akiwepo uwanjani Joginho anafanya kazi kukaba na ndio maana mpira unavurugika pale katikati na ulinzi tunashambuliwa ovyo ovyo, labda tupaki basi kama jana kufinya space
Acha uzwazwa wewe! Yani wewe una akili kuliko hata TT ambaye naye kalalamikia maamuzi ya huyo Refa wenu mliomnunua Man City ili aje awafanyie hujuma Chelsea FC mabingwa wa ulaya?Kaokoa Mpira kwa mkono kabisa ,mkono umefuata mpira ,na ule mpira ulikuwa unaingia golini ....
Kwanini asipewe red card ,kwanza ilitakiwa ale na makofi juu ....
Jitu zima linashindwa kucheza mpira linaanza kucheza rede uwanjan ...
Cesar CBHii imekaaje kwa Reece james na Cesar Azpilicueta wote kuanza kwa pamoja uwanjani? Au cesar amekua centre-back