John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Kwamba anajua pia kuliko mapundits WA soka kina Owen ambao nao wamelalamikia Ile red card kuwa ilikuwa harshAcha uzwazwa wewe! Yani wewe una akili kuliko hata TT ambaye naye kalalamikia maamuzi ya huyo Refa wenu mliomnunua Man City ili aje awafanyie hujuma Chelsea FC mabingwa wa ulaya?
