Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tutawafunga mechi ya marudiano
Jamani naombeni kujua jukumu la jorginho pale katikati.. nachomuona ni anapiga pasi tu, hakabi kwa kiwango cha no 6,backup za kante na kova ndo zinamsave asionyeshe makosa mengi bt Kwa game kama la leo niliona kabisa ameshindwa kufanya jukumu lke as no 6... hatengenezi mashambulizi makali.. itx like ni kupiga pasi tu na kupoteza pale lresure inavokua juu... Naona ni wakati wa maamuz magum kweny mechi ngum chalobah kuingia as No 6 wa chelsea.. Jorginho kuna muda ananipa presure nayoshindwa ihimili ...mtazamo
 
Jorginho ni mzuri asipokaa na mpira, Yeye ni kiungo mchezeshaji na akitoa pasi zake kwa uzuri Chelsea wanakuwa wako hai uwanja mzima. Ila tatizo kuu la Jo mara anachoka mapema au kuna siku mpira unamkataa kabisa, leo Jorginho mpira wake ulikuwa hovyo sana na anakaa na mpira mpaka anyang'anywe, Wangemzoesha Chalobah kwenye DM naona anacheza kama Kante, very well kwa muda mfupi aliocheza atatufaa sana kule mbele ya safari
 
Kumbuka kwenda kwenye VAR ni kujirithisha tuu, lkn kila kitu anakuwa ameshaambiwa na anaowasiliana nao. Mm n shabiki wa chelsea lkn ile n red sahihi
Nooo, mpira ulianza kweny paja then ukaja kweny mkono,
Ilifaa aangalie marudio yote ya mpira ulipoanzia mpk kweny mkono na sikukukuta picha mnato kweny monitor,
 
Ile ilikuwa ni penalty sawa ila sio red card kwa sababu James hakudhamiria kuuzuia kwa mkono kama Taylor alivyodai. Involuntary mpira uligonga goti ukaelekea kwenye mkono
 
Jorginho ni mzuri asipokaa na mpira, Yeye ni kiungo mchezeshaji na akitoa pasi zake kwa uzuri Chelsea wanakuwa wako hai uwanja mzima. Ila tatizo kuu la Jo mara anachoka mapema au kuna siku mpira unamkataa kabisa, leo Jorginho mpira wake ulikuwa hovyo sana na anakaa na mpira mpaka anyang'anywe, Wangemzoesha Chalobah kwenye DM naona anacheza kama Kante, very well kwa muda mfupi aliocheza atatufaa sana kule mbele ya safari
Yaan timu ikishakuw kwenye pressure bas ye n hamna jipya tena.. kuna mda anacheza pouw saana leo nadhan kante alikuw 50% ya performance yake.. thatx why tumeshambuliwa sana.. kova kw dk alizocheza kaperforme vzur ..mount lukaku na kai wanatakiw kuzoeana zaid ili wasipishane kwenye movement inatakiw one chance one goal.. ngoja tuone combination ya werner na lukaku mbele
 
Hapana boss ile ni red kabisa.
Navojua mm kama nitakuwa sipo sawa naomba mnirekebishe.

Mpira unaoelekea moja kwa moja ndani ya goli mtu akiushika hy ni red ya moja kwa moja, mpira uliyopo ndani ya box ukishika ni njano.
Yeah hata nikikikumbuka kombe la dunia south Africa Suarez alishika ,ikawa red card na penati juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom