Mbwiga jr
Member
- May 28, 2021
- 21
- 22
Hahahh sijawahig enjoy kama navoenjoy msimu huu... kwanza ndo bingwa wa UefaLeo leo leo tunakula kuku 4 leo leo leo leo. Liverkuku mboga yetu. Hatuachi hata mfupa yaaani leo ndio leo watakoma. Wale veki zao wenye majeraha ya kila mara zile pushi za kifaru lukaku mbona wataomba sub wenyewe
