Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mastermind TT baada tu ya red card akainama chini, kaweka cap sawa, kanywa maji, katulia. Hopeful kipindi cha pili tunaua hawa liver japo tupo pungufu.
Wewe ni falaaaa ...

Mtamfunga nan mkiwa pungufuu ..


Mnaenda kupelekewa motooo mpaka mtajuta kuingia uwanjan
 
Sijui TT atakuja na mbinu gani kuziba hilo pengo la James.

Tupaki bus tuu

--------- Mount ---------- Lukaku -----------

Chiliwell --- Joginho --- Kante ------ Azipi

--- Rudger - Christensen - Chilobah ----
Tunaweza kuwapiga na counter
 
Nilitahadhalisha mapema kuhusu huyu refarii. Yaan huwa ana chuki sana na Chelsea
Ulitaka refa aweke Goal kick au .
FB_IMG_1630172501624.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom