Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

11 yetu leo
20210814_160818.jpg
 
Chelsea Injuries Updates
  1. Hakim Ziyech Injury takriban mwezi mzima
  2. Ngolo Kante tahadhari
  3. RLC self isolation for Covid-19
  4. ROM Lukau Self Isolation for Covid-19 precautions
 
Chalobah kucheza leo ndio tuseme kwamba hatatolewa mkopo?, kama ni hivyo nitafurahi sana
 
Na Kwa maana hyo dili la kounde ndo limezama kwenye maji sio

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Dili liko pale pale, wanasubiri Abraham na Batshuayi wauzwe
Abraham mil 40 na Batshauyi mil 9 ili mahesabu yabalance, kinyume na hapo Chelsea wakimnunua Jules Kounde sasa wakaguzi wa EPL na UEFA wanaweza kuja kukagua mahesabu
 
Hapo bado ROM hajaanza kutumbukiza nyavu, msimu huu watakoma na yale manyumbu yaliyobahatisha leo kwa United wakadhani wanajua sana
Goli 5 tumebatisha?
Utakua una matatizo ya akili sio bure.
 
CHELSEA FC SONG

"Blue Is The Color"

Chorus

Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim

So cheer us on through the sun and rain
'cause Chelsea, Chelsea is our name

Verse 1

Here at the Bridge whether rain or fine
We can shine all the time

Home or away, come and see us play
You're welcome any day

Chorus

Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim

So cheer us on through the sun and rain
'cause Chelsea, Chelsea is our name

Verse 2

Come to the Shed and we'll welcome you
Wear your blue and see us through
Taarab hii kaimba nani, Kwadija kopa, ama Nasma khamisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom