Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aisee Moreno kapiga shuti hakuna aliyeona ni goli tu ilitusaidia. Mabeki wasiwe wanamuachia nafasi Moreno. Mabeki walizubaa sana. Zouma na Odoi wanatakiwa kiwajibika zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom