Wachambuzi wanasema msimu uliopita Mendy alionyesha kiwango cha thamani ya Pound £98M japo alinunuliwa kwa Pound £22M pekee huku akilipwa mshahara mdogo kuliko wachezaji wote kwenye first eleven ya Chelsea
Ubora wa Mendy ulichangiwa na umri pamoja na ukomavu wake ndani ya uwanja, Mendy alisajiliwa Chelsea akiwa na miaka 27
Hivyo hivyo kwa Lukaku, anakuja Chelsea akiwa na miaka 28, hivyo anakuja akiwa amekomaa na mwenye uzoefu kama Mendy, wanachelsea hawatakiwi kuwa na wasiwasi wowote kuhusu ubora wa Lukaku, wategemee kuona ubora halisi wa Lukaku wa sasa mwenye uzoefu uliotukuka wa kufumania nyavu




Na hatuwaruhusu kwenda nao penalty, mapema tuu tunachukua kakikombe kakutupatia moto wa msimuKwahy wanangu tumekubaliana kuwa leo ndo leo, afe Kepa afe Abraham ushindi upo.?
Tatizo dogo bado anataka mshahara mkubwaNEWS:
Mtendaji mkuu wa AS ROMA Tiago Pinto atakuwepo London kwa masaa kadhaa yajayo, kwa ajili ya mazungumzo kuhusu Tammy Abraham. Chelsea FC wamekubaliana na AS ROMA dili la Tammy Abraham.
Pia kuna kipengere cha kumnunua tena "buy back clause " kwenye dili hilo. Ameongea na Jose Mourinho pamkja na AS Roma kuwa wanataka maamuzi wikiendi au wanweza kuangalia kwingineko.
Na kilichobaki kwa sasa ni Tammy Abraham kuridhia maslahi binafsi.
[David Ornstein - The Athletic].
Hao chilwel, Silva n azpi nadhani wataanzia benchi ..maana wamechelewa kuanza mazoezi kwenye preseason tofauti na wengine ..so kutokana na fitness level Yao czan km wataanzishwaChelsea predicted XI (3-4-2-1):
Werner ----------------- Havertz ------------------------ Ziyech
Chilwell--------------Kovacic -----------Kante-----------------James
Rudiger ------------------ Silva -----------------Azpilicueta
Mendy
Mbona mapokezi na shamra shamra za Leo Messi kwenye jiji la Paris hazina mvuto mkubwa kama ule wa Cristiano Ronaldo kule kwenye jiji la Turin? Au kwa vile anasajiliwa bure au Brand ya Ronaldo ni hot cake zaidi ya brand ya Leo?
Messi ameshafika Paris, Lukaku bado hajafika London. Leo ndiyo nimeamini Lukaku ni mzito sana!


Kuna uwezekano line up ikawa hiviHao chilwel, Silva n azpi nadhani wataanzia benchi ..maana wamechelewa kuanza mazoezi kwenye preseason tofauti na wengine ..so kutokana na fitness level Yao czan km wataanzishwa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Asernal ya kipindi Cha Wenger sio SasaDogo ana akili na ana jicho la kuona mbali
Mimi kama mratibu wa gunner kutokea afrika mashariki namkaribisha sana