Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wacheni fujo jamani .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ni aje waungwana!? Msiondoke jamani sie tunawapenda
 
Hali mbaya....Defoe kaongeza... AVB akishinda hii game itakua raha sana....
 
Tor the Res anatafuta goli la matuta hapa .... .... ... Chelsick wacheni kuchungulia toeni comments timu yenu inacheza ... .... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee 2 -2 ... .... ... ...
 
Bado mna muda Mkuu wa kuweza kurudi, yule SAF na MANU wanakenua saa hizi


Ina maana BUBU unataka Chelsea ashinde???? If yes Why?? If No... Dont give a reason.... Gallas katoa Boko....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom