Ucl ni kiwango kidogo hivyo cha pesa??Bado ngapi hapo ili tumlete Haaland kwa 150m?
View attachment 1855158

Matak* weweTimu ya kifalafala kwel ,et mnamtaka halaand
Hizo pesa bora tu ukanunua bia ,na kut.o.mbea tuu ,..
Maana huu msimu ni kipigo tuu
Kwahy Tomori ana thamani kubwa zaidi ya UCLBado ngapi hapo ili tumlete Haaland kwa 150m?
View attachment 1855158
Unapata wapi ujasiri wa ku comment kwenye jukwaa la mabingwa wa ulaya?



Akikujibu nitaq![]()
Left back alitakiwa kuwepo ShawUEFA 2020 TEAM OF THE YEAR
Chelsea yuko JO tu
Formation 4-3-3
GK
Gianluigi Donnarumma (Italy)
Defenders
Kyle Walker (England)
Leonardo Bonucci (Italy)
Harry Maguire (England)
Leonardo Spinazzola (Italy)
Midfielders
Pierre-Emile Højbjerg (Denmark)
Jorginho (Italy)
Pedri (Spain)
Forwards
Federico Chiesa (Italy)
Romelu Lukaku (Belgium)
Raheem Sterling (England)
Nani huyo?Kjna wetu ndo anaondoka. Amemaliza kazi yake Chelsea. Shukran sana kwa Yote; pia nampa hongera alipoamua kufanya maamuzi ya Kuondoka Arsenal kwan kati ya Club imekuja kumpa Mafanikio ni Chelsea
GiroudNani huyo?
Mi binafsi nina wasiwasi tunaweza tusisajili mchezaji yoyoteHuyu Halaand sidhani kama tutamsajili, huo usajili umeisha kuwa mgumu mno.
Aah lzm tusajili acheni uchawiMi binafsi nina wasiwasi tunaweza tusisajili mchezaji yoyote


....priority sio CF Tu kuna midfielder na CB ...




Mi binafsi nina wasiwasi tunaweza tusisajili mchezaji yoyote