Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haaland in Chelsea training View attachment 1851483

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Future Borussia Dortmund sport director Sebastian Kehl to SkyDe: “Haaland to Chelsea? I read about it, but for us nothing has changed: we have plans with Erling for next season, he and his agent are aware of it. We expect him back this week”. Sky_MaxB #BVB #CFC

@Goal233
 
Mimi bado ninaimani na haaland kutua Chelsea maana BVB ni wafanyabiashara haiwezekani waikatae 100M+ ambayo ni faida mala 3 ya hela waliyomnunulia alaf waje kumuuza kwa 60M msimu ujao

Dirisha kubwa tangu limefunguliwa hatujafanya usajili wowote bali wachezaji wetu wa mkopo wamerudi kucover zile nafasi za kusajili Malang Sarr, Zappacosta.

Nahisi kuna kishindo kikubwa cha usajili kinakuja soon cash £154.2M italipwa Dortmund.
Mimi piah ninaimani hiyo mzee tusubili

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi bado ninaimani na haaland kutua Chelsea maana BVB ni wafanyabiashara haiwezekani waikatae 100M+ ambayo ni faida mala 3 ya hela waliyomnunulia alaf waje kumuuza kwa 60M msimu ujao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wako kibiashara zaidi, ona hapa walivyokunja mpunga mrefu

Borussia Dortmund spent £32m on the following players:

-Jadon Sancho
-Ousmane Dembele
-Pierre-Emerick Aubameyang
-Christian Pulisic

They sold them for a total of £309m.

| @Goal233
 
BVB na ajax hawa jamaa wanaijua sana biashara ya mpira

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa nakumbuka msimu uliopita kabla ya kuanza alitoa kauli kama hiyo kwa SANCHOKA nakweli wakawa nae na hakuuzwa
Future Borussia Dortmund sport director Sebastian Kehl to SkyDe: “Haaland to Chelsea? I read about it, but for us nothing has changed: we have plans with Erling for next season, he and his agent are aware of it. We expect him back this week”. Sky_MaxB #BVB #CFC

@Goal233
 
Mkuu baada ya msimu kuisha wachezaji wote waliokuwa kwa mkopo urudi kwenye klabu zao mama. Hii aina maana kuwa hao wote watakuwa kwenye kikosi rasmi cha msimu mpya.
Dirisha kubwa tangu limefunguliwa hatujafanya usajili wowote bali wachezaji wetu wa mkopo wamerudi kucover zile nafasi za kusajili Malang Sarr, Zappacosta.

Nahisi kuna kishindo kikubwa cha usajili kinakuja soon cash £154.2M italipwa Dortmund.
 
Ukiona mchezaji anahusishwa sana na anaongelewa sana kujiunga Chelsea basi asilimia kubwa huenda akasajiliwa. Huyu Halaand ni suala la muda tu, huyu ni mali yetu kabisa. Na endapo tukamchukua huyo dogo ata kwa zaidi ya Milioni 100 aisee klabu yetu itakuwa imepiga hatua kubwa mno. Na kuanzia hapo watu hawato tu chukulia poa
 
Lauren James mdogo wake na Reece James kutoka Timu ya wanawake ya Manure atanunuliwa kwa ada kubwa kuwahi kutokea timu mbili za WSL kuuziana wachezaji. Chelsea pia itaweka rekodi ya ndugu wawili kuchezea timu moja ya wanawake na wanaume kwa wakati mmoja.
Lauren ni mshambuliaji na ataungana na manager Emma Hayes's ambaye ameiwezesha Chelsea wanawake kutwaa ubingwa wa England wanwake kwa misimu miwili mfululizo, kushinda Community Shield na kufika kwenye fainali za UEFA wanawake
Lauren ananunuliwa kwa kiasi cha paundi 200,000, na itaongezeka hadi 300,000 zitakazotokana na addons
Uhamisho bado kidogo kwa timu ya Chelsea kukubaliana na mchezaji kuhusu marupurupu binafsi
Wanapendeza hawajapendeza?

1626216472633.png
 
Naona sajili za sasa hivi unatoa mpunga kisha kuna adds
Lauren James mdogo wake na Reece James kutoka Timu ya wanawake ya Manure atanunuliwa kwa ada kubwa kuwahi kutokea timu mbili za WSL kuuziana wachezaji. Chelsea pia itaweka rekodi ya ndugu wawili kuchezea timu moja ya wanawake na wanaume kwa wakati mmoja.
Lauren ni mshambuliaji na ataungana na manager Emma Hayes's ambaye ameiwezesha Chelsea wanawake kutwaa ubingwa wa England wanwake kwa misimu miwili mfululizo, kushinda Community Shield na kufika kwenye fainali za UEFA wanawake
Lauren ananunuliwa kwa kiasi cha paundi 200,000, na itaongezeka hadi 300,000 zitakazotokana na addons
Uhamisho bado kidogo kwa timu ya Chelsea kukubaliana na mchezaji kuhusu marupurupu binafsi
Wanapendeza hawajapendeza?

View attachment 1852279
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom