Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
City labda watuingilie kama sisi tulivyo waingilia NYUMBU kwa Camavinga
Wakimkosa? huoni plan B itakuwa Haaland?
Wakimkosa? huoni plan B itakuwa Haaland?
Ziyech + 50M = Federico Chiesa
Marina hauoni hizi biashara jameni
Mimi hawa wachezaji wanaopafomu kwenye mashindano mafupi huwa siwaamini kabisa mchezaji amecheza mechi sita tuu amefanya vizur mnaenda kununua kwa 100MHiyo itakuwa ni biashara kichaa, Chelsea imekwisha peleka ofa ya Euro Million 100 bila uwepo wa Ziyech. Lakini Juve wamekataa na wamesema jamaa hauzwi, now Chelsea ina jiandaa kupeleka ofa nyingine.
Au hata cuadrado au kina James rodriguezMimi hawa wachezaji wanaopafomu kwenye mashindano mafupi huwa siwaamini kabisa mchezaji amecheza mechi sita tuu amefanya vizur mnaenda kununua kwa 100M
Rejea =renato Sanchez
Rodriguez
Mario gotz
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Si kingine Bali NI ishu za covid zinapelekea kuwa hv I think....kipindi kabla ya pandemic tunaona timu zinakwenda mbali kucheza mechi za kirafiki mpk uchina huko au USA lkn sahv kutokana na huu ugonjwa Labda watapaa mpk Ireland au uskochi lkn si nje ya UKHivi inakuwaje friends mechi tunacheza na ase8 na spurs?
Ilihali Kuna barca, bayern, juventus, PSG ambao hatukukutana nao UEFA.
Naona tushafeli kwa haalandHii sidhani Kama ni kweli
Chelsea wameshatoa dau la Euro 100 Juventus kwa Federico Chiesa
Mimi hawa wachezaji wanaopafomu kwenye mashindano mafupi huwa siwaamini kabisa mchezaji amecheza mechi sita tuu amefanya vizur mnaenda kununua kwa 100M
Rejea =renato Sanchez
Rodriguez
Mario gotz
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Timu ya kifalafala kwel ,et mnamtaka halaand
Hizo pesa bora tu ukanunua bia ,na kut.o.mbea tuu ,..Chiessa akinunuliwa chelsea...naahidi kuziangalia mechi zote za chelsea ikiwa mazingira yataruhusu...nitanynua jezi ya home+away+3rd kit nitainetia chelsea mechi zote win...lakini isitoshe nitadunduliza kiasi nacho pokea kutoka kwa wahisani mpaka nizame Stamford bridge amen
Umeanza kumuangalia lini Chiesa?Mimi hawa wachezaji wanaopafomu kwenye mashindano mafupi huwa siwaamini kabisa mchezaji amecheza mechi sita tuu amefanya vizur mnaenda kununua kwa 100M
Rejea =renato Sanchez
Rodriguez
Mario gotz
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Shida umemuangalia kwenye euro tu, kama unafatilia seria A, usingesema ni mchezaj wa mashindano mafupiMimi hawa wachezaji wanaopafomu kwenye mashindano mafupi huwa siwaamini kabisa mchezaji amecheza mechi sita tuu amefanya vizur mnaenda kununua kwa 100M
Rejea =renato Sanchez
Rodriguez
Mario gotz
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wazee wa kubeti kazi kukurupukaUmeanza kumuangalia lini Chiesa?