Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu mbwa ananimalizia bando kumfuatilia yeye tu.
Namba zake zinatisha sana wakati Ronaldo anatimiza miaka 21 alikua amefunga goa 27 na messi alikua amefunga goa 48 tuuh dogo anamagoal 100+
Screenshot_20210721-213442_Instagram.jpg
 
Binafsi mtazamo wangu kuhusu kukwama kwa huu usajili wa Haaland, nadhani Bodi yetu haitaki kulipa £150M cash bali itakuwa inataka unafuu kwa kujumlishia wachezaji kama Abraham kwenye hili deal.

Kama Dortmund wanataka £150M, huku Raiola na baba mzazi wa Haaland wanataka £50M, kweli Marina atoe cash £200M sidhani?

Lazima Marina anataka kujumilisha na baadhi ya wachezaji ili kupunguza makali ya kulipa cash £200M.

Hii biashara ngumu sana itatupotezea muda wa kusajili maeneo mengine kwenye kikosi.
Kila nikigusa simu asubuhi Kwanza nataka kujua usajili wa halaand .
Hii haaland ikitua darajani ni moto.
 
Binafsi namkubali sana Halaand. Ni mchezaji ninae tamani sana atue Darajani, ata asipo wika kwa msimu huu bado ana umri mdogo wa kuprove hapo baadae.

Hii biashara nadhani isha kuwa ngumu sana mjue tunadili na wakala mwenye tamaa ya hela ni hatari. Raiola ni mtu wa hovyo sana na hili dili yeye ndio atalikwamisha.

Usajili wa straika kwa msimu huu ni wa lazima. Inabidi tuwe na namba tisa ya uhakika, Abraham ni kama ataondoka tutabaki na Broja.

Broja ni mchezaji mzuri ila inabidi apate msaidizi
Binafsi mtazamo wangu kuhusu kukwama kwa huu usajili wa Haaland, nadhani Bodi yetu haitaki kulipa £150M cash bali itakuwa inataka unafuu kwa kujumlishia wachezaji kama Abraham kwenye hili deal.

Kama Dortmund wanataka £150M, huku Raiola na baba mzazi wa Haaland wanataka £50M, kweli Marina atoe cash £200M sidhani?

Lazima Marina anataka kujumilisha na baadhi ya wachezaji ili kupunguza makali ya kulipa cash £200M.

Hii biashara ngumu sana itatupotezea muda wa kusajili maeneo mengine kwenye kikosi.
 
Hivi staika Yuko halaand tu

Tutafute namba 9 mwingine tumwache aozee hapo Dortmund kwa hizo Bei zao.

Angoje akapate makombe mtelezo Bayern
 
Hii timi mbon imekaa kifalafalaa ..

Yaani utafikili hayajachukua uefa ,yaani imekaa kipimbipimbii daaaaaa
 
Hazard arudi darajani, kwa maana Pulisic anadema dema tuu, wastage of time
View attachment 1864909
Hazard akirudi darajani ni the worst wastage of time and money - Abaki huko huko ale pension yake
  1. Hazard wa sasa na yule wetu ni vitu viwili tofauti
  2. Hazard hyu wa leo ni mtu wa mapochopocho
  3. Hazard wa leo ni mvivu na hajitumi
  4. Hazard wa leo karizika mno
  5. Hazard wa leo kazeeka
  6. Astaafie huko huko kwenye ndoto zake
  7. Bora Pulisic anakuwa, kumbuka ana miaka 22 tu
Tuna options nyingi sana
Yuko Pulisic na Werner, bado umri mdogo
Tunaweza kwenda sokoni kwa akina Chiesa
Tunae Havertz just 22
Tunae Mason Mount 22 tu kijana mchapa kazi hata Hazard kwenye huo umri hajamfikia Mount hata kidogo
Kwa nini tuanze kumfikiria mtu anayekula pensio kule Real Madrid?
 
Abramovich na Marina wanaandaa bid ya Paundi mil 130 kwa ajili ya kumnasa Haaland
 
Sasa si bora tumchukue Chiesa kuliko kurudi kwa Hazard
Dogo anazingua muda anaotumia kukaa nje kutibu majeraha ni mwingi sana kuliko aliocheza uwanjani tena subs.

Tunahitaji left winga mwingine wa kutupa 10+ goals kwa msimu.

Kubeba EPL tunahitaji wafungaji:-

Left winga 10+ goals
Right winga 10+ goals
CF 10+ goals

Sasa akitua Haaland Stanford, watakaomzunguka pale mbele hawana uwezo wa kufunga magoli 10 kwa msimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom