Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

18 years ago today, Roman Abramovich bought Chelsea Football Club. Since then, no English side has won more trophies…

🏆🏆🏆🏆🏆 FA Cup
🏆🏆🏆🏆🏆 Premier League
🏆🏆🏆 League Cup
🏆🏆 Europa League
🏆🏆 Champions League
 
Kipa wa Spain jana alileta namna mpya ya kuzuia penalti
Swing Swing mpaka mpigaji anapanic
 
Respected Italian journalist Romano has now revealed that Chelsea FC remain interested in a potential deal to sign Declan Rice this summer and that they are also keeping an eye on Atletico Madrid midfielder Saul Niguez.
 
Chelsea ndio timu pekee Ulaya ambayo ina mchezaji kwenye timu zote zitakazocheza fainali za Euro 2020 mwaka huu
Italy vs Spain
England vs Denmark

  • Huko kote tuna mchezaji mmoja au zaidi
  • Itally tuna Jorginho na Emerson
  • Spain tunaye kaptain Azpilicueta
  • England tunao Reece James, Mason Mount, Ben Chilwell
  • Denmark tunae Andreas Christansen
 
Uhakika 100% wa kumsajili Haaland upo according to Fabrizio Romano. Lazima Haaland atue Drajani msimu huu wa kiangazi.
Lakini Chelsea imesinyaa kwenye huo mchakato sijui wana buy time ili Mino Raiola na Dirtmund walegee na kupunguza dau!!
Nothing is imminent with Chelsea's main target Erling Haaland as the Blues search for a striker this summer, according to Fabrizio Romano.
1625391993674.png
 
TT anamuona Reece James kama CB zaidi ya RB, kwa hiyo RB mwingine anatafutwa baada ya Chelsea kumkosa Hakimi sasa wanamtaka Marquinhos wa PSG na kiungo wa Atletico Madrid: Saul Niguez
 
TT anamuona Reece James kama CB zaidi ya RB, kwa hiyo RB mwingine anatafutwa baada ya Chelsea kumkosa Hakimi sasa wanamtaka Marquinhos wa PSG na kiungo wa Atletico Madrid: Saul Niguez
Bora hao achana na waingereza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom