Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

: At least one of Chelsea’s Players will be Euro 2020 Champions Winner
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Mount, Chilwell, James.
- Christensen.
- Jorginho, Emerson.
- Azpilicueta.

Chelsea’s Dominated
England wanatakiwa watolewe haraka iwezekanavyo, nyumbu wanaona kama england ni untd ndogo. Wakati michezaji yao inazurura zurura tu uwanjani.
 
Chelsea is everywhere in Europe
1625399808219.png
 
Chelsea sasa wanamfukuzia Ben White wa Brighton
Yaungana na Arsenal, Mancity na Everton

Mchezaji mwenyewe kadai anaitaka Chelsea kwa sababu wanaweza kuoffer UEFA na wanaweza kulipa mil 50 wanayotaka Brighton
1625422528984.png
 
Ukweli ni kwamba Dortmund hawakumnunua Haaland ili washinde makombe bali ili wamuuze. Sasa huu ndio wakati Haaland ana bei kubwa, mwaka ujao atanunuliwa kwa Paundi mil 68 tu wakati huu wanaweza uza zaidi ya paundi mil 100. Wao walimnunua kwa Paundi mil 20 tu January 2020
 
: At least one of Chelsea’s Players will be Euro 2020 Champions Winner
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Mount, Chilwell, James.
- Christensen.
- Jorginho, Emerson.
- Azpilicueta.

Chelsea’s Dominated
Wow hongera Sana, Hawa ndio wachezaji wa CHELSEA waliofika semi final Euro?
 
TT anamuona Reece James kama CB zaidi ya RB, kwa hiyo RB mwingine anatafutwa baada ya Chelsea kumkosa Hakimi sasa wanamtaka Marquinhos wa PSG na kiungo wa Atletico Madrid: Saul Niguez
Tumchukue marquinho na saul halaf issue ya rb/rwb tuanze kumpa nafas livramento kutoka academy dg yuko vizuri tim nying now zinamtaka huyu dogo tusipoangalia tutafanya same mistake kama za lamptey

Usajili wa haland ni mgumu sana,yani kama ulivyokuwa usajil wa kai huu utakuwa zaidi
Enewei pesa ndio inayoamua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom