Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667
Valentino Livramento anajua sana huyo dogo. Ni halali kabisa kupandishwa timu ya wakubwa. Dogo anacheza beki lakini ana assist kama zote. juan david
Hatumuchukia mkuuu tutampeleka wapiJamani Chelsea wasimnunue Griezman
Ziyech ni mzuri kuliko yeye
Mount ni mzuri kuliko yeye
Hata Odoi ni mzuri kuliko yeye
Pulisic ni mzuri kuliko yeye
Werner ni mzuri kuliko yeye
Atakuja kucheza wapi kule mbele?
Alikuwa mzuri alipokuwa Atletico Madrid lakini huyu wa Barcelona kawa Flop kwa miaka yote miwili
Hivi hizi penalt za Jorginho mbona naona kama rahisi sana kuzidaka. Kwa kipa makini anadaka vizur tu.
hiyo penalti ina muonekano wa urahisi ila ni ngumu kwa sababu uamuzi wa kupiga wapi unafanywa baada ya kupa kuonyesha anadive wapiHivi hizi penalt za Jorginho mbona naona kama rahisi sana kuzidaka. Kwa kipa makini anadaka vizur tu.
























Kama kawaida mnakimbilia historiaENGLISH PREMIER LEAGUE WINNERS
HERE WE GO
2021 Manchester City
2020 Liverpool
2019 Manchester City
2018 Manchester City
2017 Chelsea FC
2016 Leicester City
2015 Chelsea FC
2014 Manchester City
2013 Manchester United
2012 Manchester City
2011 Manchester United
2010 Chelsea FC
2009 Manchester United
2008 Manchester United
2007 Manchester United
2006 Chelsea FC
2005 Chelsea FC
2004 Arsenal FC
2003 Manchester United
2002 Arsenal FC
2001 Manchester United
2000 Manchester United
1999 Manchester United
1998 Arsenal FC
1997 Manchester United
1996 Manchester United
1995 Blackburn Rovers
1994 Manchester United
1993 Manchester United
1992 Leeds United
1991 Arsenal FC
1990 Liverpool
1989 Arsenal FC
1988 Liverpool
1987 Everton
1986 Liverpool
1985 Everton
1984 Liverpool
1983 Liverpool
1982 Liverpool
1981 Aston Villa
1980 Liverpool
1979 Liverpool
1978 Nottingham Forest
1977 Liverpool
1976 Liverpool
1975 Derby County
1974 Leeds United
1973 Liverpool
1972 Derby County
1971 Arsenal
1970 Everton
1969 Leeds United
1968 Manchester City
1967 Manchester United
1966 Liverpool
1965 Manchester United
1964 Liverpool
1963 Everton
1962 Ipswich Town
1961 Tottenham Hotspur
1960 Burnley FC
1959 Wolverhampton
1958 Wolverhampton
1957 Manchester United
1956 Manchester United
1955 Chelsea FC
1954 Wolverhampton
1953 Arsenal
1952 Manchester United
1951 Tottenham Hotspur
1950 Portsmouth FC
1949 Portsmouth FC
1948 Arsenal
1947 Liverpool
1940-1946(Nothing)
1939 Everton
1938 Arsenal
1937 Manchester United
1936 Sunderland
1935 Arsenal
1934 Arsenal
1933 Arsenal
1932 Everton
1931 Arsenal
1930 Sheffield Wed
1929 Sheffield Wed
1928 Everton
1927 Newcastle United
1926 Huddersfield Town
1925 Huddersfield Town
1924 Huddersfield Town
1923 Liverpool
1922 Liverpool
1921 Burnley FC
1920 West Bromwich
1916-1919(Nothing)
1915 Everton FC
1914 Blackburn Rovers
1913 Sunderland
1912 Blackburn Rovers
1911 Manchester United
1910 Aston Villa
1909 Newcastle United
1908 Manchester United
1907 Newcastle United
1906 Liverpool
1905 Newcastle United
1904 Sheffield Wed
1903 Sheffield Wed
1902 Sunderland
1901 Liverpool
1900 Aston Villa
1899 Aston Villa
1898 Sheffield Wed
1897 Aston Villa
1896 Aston Villa
1895 Sunderland
1894 Aston Villa
1893 Sunderland
1892 Sunderland
1891 Everton
1890 Preston North
1889 Preston North
Premier League Championship by numbers
1 Manchester United - 20
2 Liverpool - 19
3 Arsenal - 13
4 Everton - 9
5 Aston Villa - 7
6 Manchester City - 7
7 Chelsea- 6
8 Sunderland - 5
9 Sheffield Wed-5
10 Blackburn Rovers-3
11 Wolverhampton - 3
12 Huddersfield - 3
13 Leeds United - 3
14 Newcastle United - 3
15 Preston North - 2
16 Derby County - 2
17 Tottenham Hotspur-2
18 Portsmouth - 2
For record purposes!!!
MOST LEAGUE CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Man United
2. 19 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
MOST FA CUPS
1. 14 - Arsenal
2. 12 - Man United
3. 8 - Tottenham Hot Spurs
ajasiyusufu@gmail.com+27651311435 (AJASI THE ONE) CALL/WHATSAPP
MOST CHAMPIONS LEAGUE
6 - Liverpool
3 - Man United
2 - Nottingham Forest
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Man United
2. 15 - Arsenal
3. 15 - Liverpool
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Man United
2. 62 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Man City
3. 4 - Tottenham Hot Spurs
Now you know which clubs are big and more successful in Epl, no more noise......
30 PLAYERS WITH MOST PREMIER LEAGUE MEDAL
ajasiyusufu@gmail.com+27651311435
1. Ryan Giggs - Manchester United = 13
2. Paul Scholes - Manchester United = 11
3. Gary Neville - Manchester United = 8
4. Dennis Irwin - Manchester United = 7
5. Roy Keane - Manchester United = 6
6. David Beckham - Manchester United = 6
7. Nicky Butt - Manchester United = 6
8. Phil Neville - Manchester United = 6
9. Ole Gunnar Solskjaer - Manchester United = 6
10. Rio Ferdinand - Manchester United = 6
11. Peter Schmeichel - Manchester United = 5
12. Andrew Cole - Manchester United = 5
13. Wes Brown - Manchester United = 5
14. John O'Shea - Manchester United = 5
15. Wayne Rooney - Manchester United = 5
16. Patrick Evra - Manchester United = 5
17. Nemanja Vidic - Manchester United = 5
18. Darren Fletcher - Manchester United = 5
19. Michael Carrick - Manchester United = 5
20. John Terry - Chelsea = 5
21. Brian McClair - Manchester United = 4
22. Eric Cantona - Manchester United = 4
23. Gary Pallister - Manchester United = 4
24. Michael Silvestre - Manchester United = 4
25. Edwin Van Der Sar - Manchester United = 4
26. Park Ji-Sung - Manchester United = 4
27. Anderson - Manchester United = 4
28. Luis Nani - Manchester United = 4
29. Tomas Kuschak - Manchester United = 4
30. Didier Drogba - Chelsea = 4
Is this English Premier League or Manchester United League?
Wisdom will kill me![]()


Nawaza tu kipa na yy akiamua kumdanganya, kuwa anaruka upande huu akaruka upande mwingine, kipa smart anamuotea. kuna kipa alishawahi msoma. Sikumbuki vizur kama sio AllisonHili ndio jibu Jo anavyoruka hewani kipa anashtuka na kufanya move, jo akitua chini ameshapata jibu apige uelekeo tofauti na move ya kipa.
Na huwa anapiga pembeni sana hata kipa akilazimsisha kubadili move hataikamata TIMING vs BALL ACCELERATION vs BODY MOVEMENT
Kipa mzur anadaka, unamsubir aruke ruke amalize ndio ufanye uamuzi.hiyo penalti ina muonekano wa urahisi ila ni ngumu kwa sababu uamuzi wa kupiga wapi unafanywa baada ya kupa kuonyesha anadive wapi
Hawezi kudaka kwa sababu moja kuu, ili adake inabidi asidive kwanza ili kuona mpira unakwenda wapi halafu huo muda wa kusimama hautatosha kufuata mpira kwa sababu mipira ya penalty inatakiwa uudake kwa kuutabiri unakwenda wapi la sivyo utachelewa kuuwahiKipa mzur anadaka, unamsubir aruke ruke amalize ndio ufanye uamuzi.
Labda kipa wa kaliba ya Mendy. Unakumbuka alivodaka penati ya Aguero kirahisi?Kipa mzur anadaka, unamsubir aruke ruke amalize ndio ufanye uamuzi.
Kima wa man cty edarsonNawaza tu kipa na yy akiamua kumdanganya, kuwa anaruka upande huu akaruka upande mwingine, kipa smart anamuotea. kuna kipa alishawahi msoma. Sikumbuki vizur kama sio Allison
Akitokea wa kufanya hivyo, hiyo itakuwa a nice betNawaza tu kipa na yy akiamua kumdanganya, kuwa anaruka upande huu akaruka upande mwingine, kipa smart anamuotea. kuna kipa alishawahi msoma. Sikumbuki vizur kama sio Allison